Dili la Ceasar Manzoki Simba Laingia Mchanga. Mambo ni mazito, Offer Kubwa Zamimikika

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.

Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola za kimarekani 100,000/= ambazo Vipers SC wanahitaji. Simba wanavizia mchezaji amalize mkataba wake.

Baada ya kuhundua hili, Simba SC wakaushauli Uongozi wa mchezaji kununua sehemu ya mkataba wa mchezaji kutoka Vipers SC.

Vipers SC nao wamekaza. Wanataka mwana amalize mkataba wake na endapo kama kuna timu inahitaji kumnunua basi wafuate taratibu rasmi zilizopo.

Uongozi wa Ceaser Manzoki wameamua kufungia mashataka FIFA kuoitia chama cha soka cha FUFA, baada ya kuona kuna offer nyingi zaidi zimejitokeza kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe pia Pre-Contracts baina ya mchezaji na klabu haiwezi kuzuia mchezaji kuingia mkataba na timu nyingine yenye offer kubwa zaidi.

Nyepesi:

Eng Hersi ana monitor situation kwa ukaribu zaidi. Amekuwa akivutiwa zaidi na namna ya uchezaji wa Ceaser Manzoki.

Rasi wa Yanga SC anaangalia uwezekano wa Ceaser Manzoki kuchukua nafasi ya Herithier Makambo.
 
Humu utaokota wale wasiojua kufuatilia habari (wana Yanga Sc wenzakol, ila wale wachache wenye akili wanajua kila kitu kuhusu hili deal.

Unamfahamu Derek?

By the way najua huwezi kumfahamu mara nyingi unashinda ukisikiliza vipindinvya Dida Mashauzi redion.
IMG_0679.jpg
 
Mbona nyie kolo wizard pesa ya kwenda pre season Marekani imekosa matokeo yake mmealikwa na waarabu kwenda misri! Msifikiri waarabu ni wajinga wawaalike hivihivi tu, narudia tena masifikiri waarabu ni wajinga. Utaamini ukiwaona wachezaji wenu watakavyokuwa wanatembea pindi wakirudi.

Yaano hao ndio wameyumba kabisa kiuchumi.

Kutoka kuweka kambi MAREKANI mpaka kujipata Misri kwenye viwanja vya miwa.

[emoji23][emoji23]
 
Unamfahamu Derek?

By the way najua huwezi kumfahamu mara nyingi unashinda ukisikiliza vipindinvya Dida Mashauzi redion.

View attachment 2294014
Hiyo habari mimi nimeiona hata kabla yako na nika RT na comment nikaweka, jinsi ambavyo hiyo habari imeelezewa ni tofauti kabisa na jinsi ambavyo wewe umekuja kuharisha humu.

Tatizo ni kamba shule hauna ndiomaana umeshindwa kuielewa hiyo habari.😂
 
Unamfahamu Derek?

By the way najua huwezi kumfahamu mara nyingi unashinda ukisikiliza vipindinvya Dida Mashauzi redion.
View attachment 2294014
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Manzoki anawatesa sanaaa?? Vipi kimuhe muhe cha DOMOLEPE kimekishwaaaa?

Poleeeeeeeeh, manzoki in Da huoseee.
 
Very simple for Simba wasubiri hadi Mwezi wa 10 mkataba wa Manzoki utakapo isha

"What comes around, Goes around"
 
Hiyo habari mimi nimeiona hata kabla yako na nika RT na comment nikaweka, jinsi ambavyo hiyo ]

Huwa siokoti okoti taarifa:-

Mpigie Derek akupe taarifa + 256 771 102 441
 
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.

Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola za kimarekani 100,000/= ambazo Vipers SC wanahitaji. Simba wanavizia mchezaji amalize mkataba wake.

Baada ya kuhundua hili, Simba SC wakaushauli Uongozi wa mchezaji kununua sehemu ya mkataba wa mchezaji kutoka Vipers SC.

Vipers SC nao wamekaza. Wanataka mwana amalize mkataba wake na endapo kama kuna timu inahitaji kumnunua basi wafuate taratibu rasmi zilizopo.

Uongozi wa Ceaser Manzoki wameamua kufungia mashataka FIFA kuoitia chama cha soka cha FUFA, baada ya kuona kuna offer nyingi zaidi zimejitokeza kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe pia Pre-Contracts baina ya mchezaji na klabu haiwezi kuzuia mchezaji kuingia mkataba na timu nyingine yenye offer kubwa zaidi.

Nyepesi:-

Eng Hersi ana monitor situation kwa ukaribu zaidi. Amekuwa akivutiwa zaidi na namna ya uchezaji wa Ceaser Manzoki.

Rasi wa Yanga SC anaangalia uwezekano wa Ceaser Manzoki kuchukua nafasi ya Herithier Makambo.
Mkalipe deni Uturuki hawataki mikopo
 
Yaano hao ndio wameyumba kabisa kiuchumi.

Kutoka kuweka kambi MAREKANI mpaka kujipata misri kwenye viwanja vya miwa.

[emoji23][emoji23]
kukosa akili Ni janga asee,unashangaa na kucheka MTU anaenda Misri Lkn unaona Ni sawa ww kuacha kwenda Uturukj unaenda morogoro. Kweli hakuna utopolo mwenye akili. SIJUI ndiyo uzuzu wenyewe.
 
Back
Top Bottom