demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.
Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola za kimarekani 100,000/= ambazo Vipers SC wanahitaji. Simba wanavizia mchezaji amalize mkataba wake.
Baada ya kuhundua hili, Simba SC wakaushauli Uongozi wa mchezaji kununua sehemu ya mkataba wa mchezaji kutoka Vipers SC.
Vipers SC nao wamekaza. Wanataka mwana amalize mkataba wake na endapo kama kuna timu inahitaji kumnunua basi wafuate taratibu rasmi zilizopo.
Uongozi wa Ceaser Manzoki wameamua kufungia mashataka FIFA kuoitia chama cha soka cha FUFA, baada ya kuona kuna offer nyingi zaidi zimejitokeza kutoka nje ya Afrika Mashariki.
Ikumbukwe pia Pre-Contracts baina ya mchezaji na klabu haiwezi kuzuia mchezaji kuingia mkataba na timu nyingine yenye offer kubwa zaidi.
Nyepesi:
Eng Hersi ana monitor situation kwa ukaribu zaidi. Amekuwa akivutiwa zaidi na namna ya uchezaji wa Ceaser Manzoki.
Rasi wa Yanga SC anaangalia uwezekano wa Ceaser Manzoki kuchukua nafasi ya Herithier Makambo.