Dili la Ceasar Manzoki Simba Laingia Mchanga. Mambo ni mazito, Offer Kubwa Zamimikika

Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na Sunday manara team ikose hela ya pre season muwe na hela za kumchukua manzoki wakati huo aucho anawadai signing fee we unadhani ni ambundo huyo.
 
Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na Sunday manara team ikose hela ya pre season muwe na hela za kumchukua manzoki wakati huo aucho anawadai signing fee we unadhani ni ambundo huyo. View attachment 2294403
Chama Mmemlipa Pesa Zake? Na Vp ile Kesi Yenu Ya Kufanya Uchawi Uwanjani Kwa Orlando Pirates Mmeshazilipa Zile Mil 23 Za Kupigwa Fine? Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?
 
Makolo Walipeni Vipers Ada Ya Uhamisho Wake, Nyie Si Hamchukuagi Free Agent Toeni Pesa Sasa Acheni Mba Mba Mba!
 
Tunajua yanga wenye akili ni wawili tu
 
Yaano hao ndio wameyumba kabisa kiuchumi.

Kutoka kuweka kambi MAREKANI mpaka kujipata misri kwenye viwanja vya miwa.

[emoji23][emoji23]
Tufanye wameyumba kama mnavyojitekenya na kucheka wenyewe, lakini huoni hata kwenda huko Misri wamejitahidi kuliko nyie mmenda Matombo Morogoro?
 
FUFA😂😂😂ut
FUFA😂😂😂Uto mnafeli wapi?
 
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu
 
Wataula wa chuya kudadeki, hela hawana ya kuvunja mkataba..wakivunja niiteni mbwa nimekaa palee
 
Tufanye wameyumba kama mnavyojitekenya na kucheka wenyewe, lakini huoni hata kwenda huko Misri wamejitahidi kuliko nyie mmenda Matombo Morogoro?

Mabingwa wote wa Duniani wameweka kambi nchini kwao.

Kwanini Yanga aende n’je?
 
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu

Kwa kikosi kile hata kikiweka kambi siku 3 inatosha sana.
 
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu

Kwanini habari zinazohusu klabu ya Vipers SC zisinihusu?

Au nawe ni mwanachama hai wa Vipers SC.?
 
Makolo Walipeni Vipers Ada Ya Uhamisho Wake, Nyie Si Hamchukuagi Free Agent Toeni Pesa Sasa Acheni Mba Mba Mba!

Sijui watapata wapi pesa ikiwa pesa yote ya usajili walilipa CAF kwenye sakata la matumizi ya Uchawi (Hadharani).

Chama Mmemlipa Pesa Zake? Na Vp ile Kesi Yenu Ya Kufanya Uchawi Uwanjani Kwa Orlando Pirates Mmeshazilipa Zile Mil 23 Za Kupigwa Fine? Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?

Lipeni mil 200 za waturuki,zile 30 za mshery na moro kids
 
Wapi simba walisema wanataka kumsign manzonki? Au kiherehere tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…