Dili la Ceasar Manzoki Simba Laingia Mchanga. Mambo ni mazito, Offer Kubwa Zamimikika

Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na Sunday manara team ikose hela ya pre season muwe na hela za kumchukua manzoki wakati huo aucho anawadai signing fee we unadhani ni ambundo huyo.
FB_IMG_16579129110636426.jpg
 
Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na Sunday manara team ikose hela ya pre season muwe na hela za kumchukua manzoki wakati huo aucho anawadai signing fee we unadhani ni ambundo huyo. View attachment 2294403
Chama Mmemlipa Pesa Zake? Na Vp ile Kesi Yenu Ya Kufanya Uchawi Uwanjani Kwa Orlando Pirates Mmeshazilipa Zile Mil 23 Za Kupigwa Fine? Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?
 
Makolo Walipeni Vipers Ada Ya Uhamisho Wake, Nyie Si Hamchukuagi Free Agent Toeni Pesa Sasa Acheni Mba Mba Mba!
 
Hiyo habari mimi nimeiona hata kabla yako na nika RT na comment nikaweka, jinsi ambavyo hiyo habari imeelezewa ni tofauti kabisa na jinsi ambavyo wewe umekuja kuharisha humu. Tatizo ni kamba shule hauna ndiomaana umeshindwa kuielewa hiyo habari.😂
Tunajua yanga wenye akili ni wawili tu
 
Yaano hao ndio wameyumba kabisa kiuchumi.

Kutoka kuweka kambi MAREKANI mpaka kujipata misri kwenye viwanja vya miwa.

[emoji23][emoji23]
Tufanye wameyumba kama mnavyojitekenya na kucheka wenyewe, lakini huoni hata kwenda huko Misri wamejitahidi kuliko nyie mmenda Matombo Morogoro?
 
FUFA😂😂😂ut
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.

Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola za kimarekani 100,000/= ambazo Vipers SC wanahitaji. Simba wanavizia mchezaji amalize mkataba wake.

Baada ya kuhundua hili, Simba SC wakaushauli Uongozi wa mchezaji kununua sehemu ya mkataba wa mchezaji kutoka Vipers SC.

Vipers SC nao wamekaza. Wanataka mwana amalize mkataba wake na endapo kama kuna timu inahitaji kumnunua basi wafuate taratibu rasmi zilizopo.

Uongozi wa Ceaser Manzoki wameamua kufungia mashataka FIFA kuoitia chama cha soka cha FUFA, baada ya kuona kuna offer nyingi zaidi zimejitokeza kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe pia Pre-Contracts baina ya mchezaji na klabu haiwezi kuzuia mchezaji kuingia mkataba na timu nyingine yenye offer kubwa zaidi.

Nyepesi:-

Eng Hersi ana monitor situation kwa ukaribu zaidi. Amekuwa akivutiwa zaidi na namna ya uchezaji wa Ceaser Manzoki.

Rasi wa Yanga SC anaangalia uwezekano wa Ceaser Manzoki kuchukua nafasi ya Herithier Makambo
FUFA😂😂😂Uto mnafeli wapi?
 
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.

Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola za kimarekani 100,000/= ambazo Vipers SC wanahitaji. Simba wanavizia mchezaji amalize mkataba wake.

Baada ya kuhundua hili, Simba SC wakaushauli Uongozi wa mchezaji kununua sehemu ya mkataba wa mchezaji kutoka Vipers SC.

Vipers SC nao wamekaza. Wanataka mwana amalize mkataba wake na endapo kama kuna timu inahitaji kumnunua basi wafuate taratibu rasmi zilizopo.

Uongozi wa Ceaser Manzoki wameamua kufungia mashataka FIFA kuoitia chama cha soka cha FUFA, baada ya kuona kuna offer nyingi zaidi zimejitokeza kutoka nje ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe pia Pre-Contracts baina ya mchezaji na klabu haiwezi kuzuia mchezaji kuingia mkataba na timu nyingine yenye offer kubwa zaidi.

Nyepesi:-

Eng Hersi ana monitor situation kwa ukaribu zaidi. Amekuwa akivutiwa zaidi na namna ya uchezaji wa Ceaser Manzoki.

Rasi wa Yanga SC anaangalia uwezekano wa Ceaser Manzoki kuchukua nafasi ya Herithier Makambo.
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu
 
Wataula wa chuya kudadeki, hela hawana ya kuvunja mkataba..wakivunja niiteni mbwa nimekaa palee
 
Tufanye wameyumba kama mnavyojitekenya na kucheka wenyewe, lakini huoni hata kwenda huko Misri wamejitahidi kuliko nyie mmenda Matombo Morogoro?

Mabingwa wote wa Duniani wameweka kambi nchini kwao.

Kwanini Yanga aende n’je?
 
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu

Kwa kikosi kile hata kikiweka kambi siku 3 inatosha sana.
 
Kwani wachezaji wenu wameshawasili kambini Karatu/Morogoro? au wanajiandaa na safari ya Uturuki? Hayo niliyokuuliza ni ya muhimu kwako kuliko usajili usiokuhusu

IMG_0682.jpg

Kwanini habari zinazohusu klabu ya Vipers SC zisinihusu?

Au nawe ni mwanachama hai wa Vipers SC.?
 
Makolo Walipeni Vipers Ada Ya Uhamisho Wake, Nyie Si Hamchukuagi Free Agent Toeni Pesa Sasa Acheni Mba Mba Mba!

Sijui watapata wapi pesa ikiwa pesa yote ya usajili walilipa CAF kwenye sakata la matumizi ya Uchawi (Hadharani).

IMG_0520.jpg
 
Muhindi mwenye jeuri ya kumwaga pesa ni Yusuf Manji pekee.

Hawa wasimamizi wa mirathi wana kelele sana bila vitendo.
[/w]
Mkuu,wewe zile mali za urithi ulizoachiwa bado unazo?

Anyway hata the Rockefellers au the British royals wanaishi na kutajirika kufuru kwa mali za mirathi.
 
Chama Mmemlipa Pesa Zake? Na Vp ile Kesi Yenu Ya Kufanya Uchawi Uwanjani Kwa Orlando Pirates Mmeshazilipa Zile Mil 23 Za Kupigwa Fine? Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?

Lipeni mil 200 za waturuki,zile 30 za mshery na moro kids
 
Back
Top Bottom