Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
1621410193456.png

Habarini Wana JamiiForums.

Taarifa nzuri kwa WCB Fans pamoja na tasinia ya Muziki wa BONGO FLAVOR Ni dhahiri shauri kuwa diamond and ALBUM Yake itakuwa Ni ya kukata na shoka na hii inaweza ndio ikawa ALBUM ya kwanza kutuletea GRAMMY AWARD.

Maana WARMER MUSIC GROUP Ni kampuni kubwa ya usambazaji wa kazi za wasanii ulimwenguni na hii inaonyesha kuwa kutakuwa na nawe ya wamarekani Kama yote.

ALBUM itakuwa Ni ya kwenda na kuwafikia watu wengi kwa mda mchache kudos kwa WCB na wadau wote waownda Muziki mzuri.

BONGO FLAVOR TO THE WORLD.
 
Basi wengi wetu hatujapita shule, maana post zako zote watu wanalalamika hawaelewi kuwa huwa unamaanisha nini . Nikushauri kitu, ukisikia story kijiweni kabla hujaipost huku kaa chini kwanza na kupangilia story hiyo. ukikimbilia kupost huku unapost upupu.
Sijawahi Kumwelewa Mm Sjui Kasoma Shule Gani
 
Nikushauri kitu, ukisikia story kijiweni kabla hujaipost huku kaa chini kwanza na kupangilia story hiyo. ukikimbilia kupost huku unapost upupu.
Kigoma Independent , unafanya kazi nzuri ya kutuhabarisha, Ila zingatia huu ushauri wa issenye ,ikiwezekana kabla ya ku_post basi mpe mtu kwanza asome na akushauri nini uongeze au upunguze.
 
Net Worth Ya Koffi Olomide Unaijua Ni Ngapi?
Mimi sijui, ila ile walio jaribu kutuambia ambia eti haizid USD 6 mil, huu ni uongo wa mchana kweupee, Koffi yupo kwenye muziki na ajashuka kwa zaidi ya miaka 25, ile listi ni uchafu
 
Katika ulimwengu wa muziki neno Bongo lina maana tofauti kabisa na Bongo ya Kiswahili..

Mnavyoenda ku market muziki wa Tanzania kama muziki wa Bongo Fleva tujue hilo.
 
Back
Top Bottom