Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kwahiyo haujaelewa...?Ebu ngoja nisubiri komenti zingine, labda nitaelewa ulicho kiandika..[emoji41][emoji41]
Mimi mwenyewe nimerudia zaidi ya mara nne ili niweze elewa nini kinamaanishwa ila nimetoka kapa.Ebu ngoja nisubiri komenti zingine, labda nitaelewa ulicho kiandika..😎😎
Kama haujapita shule Ni ngumuMimi mwenyewe nimerudia zaidi ya mara nne ili niweze elewa nini kinamaanishwa ila nimetoka kapa.
Basi wengi wetu hatujapita shule, maana post zako zote watu wanalalamika hawaelewi kuwa huwa unamaanisha nini . Nikushauri kitu, ukisikia story kijiweni kabla hujaipost huku kaa chini kwanza na kupangilia story hiyo. ukikimbilia kupost huku unapost upupu.Kama haujapita shule Ni ngumu
Sijawahi Kumwelewa Mm Sjui Kasoma Shule GaniBasi wengi wetu hatujapita shule, maana post zako zote watu wanalalamika hawaelewi kuwa huwa unamaanisha nini . Nikushauri kitu, ukisikia story kijiweni kabla hujaipost huku kaa chini kwanza na kupangilia story hiyo. ukikimbilia kupost huku unapost upupu.
Kigoma Independent , unafanya kazi nzuri ya kutuhabarisha, Ila zingatia huu ushauri wa issenye ,ikiwezekana kabla ya ku_post basi mpe mtu kwanza asome na akushauri nini uongeze au upunguze.Nikushauri kitu, ukisikia story kijiweni kabla hujaipost huku kaa chini kwanza na kupangilia story hiyo. ukikimbilia kupost huku unapost upupu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kigoma Independent , unafanya kazi nzuri ya kutuhabarisha, Ila zingatia huu ushauri wa issenye ,ikiwezekana kabla ya ku_post basi mpe mtu kwanza asome na akushauri nini uongeze au upunguze.
Wewe unaona list iko sawa? Koffi Olomide ni wakupitwa na vile vitoto vya NigeriaMbna Kama Kapanic [emoji2][emoji2][emoji2]... Kwamba Tuachane na Forbes Ila Tumgugo Ili Tupate Taarifa Za Utajiri Wake [emoji2][emoji2]View attachment 1789549
.Wewe unaona list iko sawa? Koffi Olomide ni wakupitwa na vile vitoto vya Nigeria
Net Worth Ya Koffi Olomide Unaijua Ni Ngapi?Wewe unaona list iko sawa? Koffi Olomide ni wakupitwa na vile vitoto vya Nigeria
Mimi sijui, ila ile walio jaribu kutuambia ambia eti haizid USD 6 mil, huu ni uongo wa mchana kweupee, Koffi yupo kwenye muziki na ajashuka kwa zaidi ya miaka 25, ile listi ni uchafuNet Worth Ya Koffi Olomide Unaijua Ni Ngapi?
Ni wangapi Wako Kwenye music mda mrefu hawajashuka Ila Hawapo Kwenye orodha ya Forbes? Kuwa na AkiliMimi sijui, ila ile walio jaribu kutuambia ambia eti haizid USD 6 mil, huu ni uongo wa mchana kweupee, Koffi yupo kwenye muziki na ajashuka kwa zaidi ya miaka 25, ile listi ni uchafu