Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Kwaio awe anafanya kama wenzake hao Alina Davido hawalalamiki Ila wanaonyesha vitendo .sio kila siku kwenye media Mimi Nina pesa Mara ooooh sijui Google izo kelele hazina mantiki through investment watu wataona Ana ukwasi kiasi basi FORBES watamuinclude kwenye list ijayo
 
Kweli vile 🤣 mondi anunue ndege, magari ya kifahari, na sio moja, majumba ya kishua sehemu tofauti tofauti, apige collabo za kishua na wasani wa Afrika na nje ya Afrika kila baada ya mda kidogo yaani collabo moto moto, awekeze nchi za nje hadi ndani ya TZ.... Hapo hata forbes watamweka nambari Uno wenyewe bila kelele zake. Haya kazi kwake! 🤣 🤣 🤣
 
Ametoa msimamo wake baada ya list ya Forbes wala sio malalamiko, Forbes wametoa Data za uongo kuhusu yeye, anayo haki ya kusema, Ata akisema anazo hela kwani wewe kipi unapungukiwa?
 
Angalia game diamond platinumz Ni genius and [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
 
FORBES NI YA MABEBERU HATUITAKI
 
DIAMOND PLATINUMZ NI BILLIONAIRE [emoji383][emoji383][emoji383]
 
an exceptionally intelligent person with "exceptional skill" in a particular area of activity.
Mfano MJ(Michael Jackson), Akon nk... Mondi bado hiyo level
DIAMOND PLATINUMZ NI REAL DEAL AND GENIUS IN BONGO FLAVOR
 
Hapa Tuna sadala na kuna Sadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…