Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Nimekwambia kuna show off ya maneno na vitendo, Kuna mtu aongei lakini matumizi yake unajua kuwa huyu Mwamba pesa ipo, ndicho alichofanya Justin bieber kununua Gari ambayo hakuna mwenye nayo duniani zaidi yake kwenye design lengo tujue kuwa pesa anayo, wewe unafikiri angenunua Gari ya kawaida kuna mtu angeshtuka kama walivyoshtuka kusikia Justin kanunua Gari ya kipekee duniani? soma vizuri uelewe usikurupuke
Fact kaka
 
Kuna deals za kawaida za matangazo ambazo hata models wanafanya.

Vile vile kuna endorsements ambazo kampuni inaamini kupitia kwa msanii watapata awareness na hivyo bidhaa zao kuuza au kujulikana zaidi.

Kuna kanpuni huwa zinawapa deals wasanii kama partners tu, ndio maana mara nyingi kampuni zikiona umekiuka baadhi ya maadili yao, huwa zinajitoa. Maana yake msanii ndiyo anayefaidika zaidi kuliko kampuni husika.

Mwisho, kibongo bongo endorsements nyingi zina udalali. Kupata inategemeana na unamjua nani ?

Ndio maana unaona Msanii mkubwa tu kama Alikiba hana endorsements za kueleweka.

Yaani kwa lugha rahisi kampuni haihitaji wewe uifanyie promotion ndio iuze.
Bado haujasema wanaangalia vigezo gani sawa dogo bado mweupe kumbe
 
Leisure ukiwa na maana gani? yaani unapiga nyimbo na wasanii wakubwa kama Drake halafu unaita leisure? kama ni leisure Dj Khalid angefanya mwenyewe sio kushirikisha watu wenye majina makubwa na mashabiki wengi, Bajeti anayo tumia Dj Khalid ni kubwa mno kwenye nyimbo kuliko Diamond sasa huu u leisure unaosema wewe upi?
Leisure yaani anamwaga hela kwa mziki bila kujali. Bora kitu kiwe safi, alafu kushirikisha kina Drake sio kitu kwake, yeye mwenyewe jina kubwa, sasa akimwita drake ni waje wapige dude la kisela, sio ati ako na njaa ya hela.
Huyo Mondi hivi amuite Drake aje wapige goma la kisela, ka vipi haiwezekani. Na akiweza jua katoa hela kibao Mondi tu. Sasa kwake ni hiyo ngoma iwike ndo apate pesa maradufu aka profit, kwa upande mwingine yule bingwa Drake hatojali. Ana hela tayari za kuendelea ku floss! 🤣
 
Kwa hiyo FORBES hawajui namna ya kupata taarifa za utajiri wake ila Google wanajua...so kwake Google ndio chanzo sahihi...wakati uki google kuhusu utajiri wake...hiyo Google inakurudisha kwa FORBES ahahahaha! Bongo ni zaidi ya Uijuavyo!
Hilo nalo neno
 
Leisure yaani anamwaga hela kwa mziki bila kujali. Bora kitu kiwe safi, alafu kushirikisha kina Drake sio kitu kwake, yeye mwenyewe jina kubwa, sasa akimwita drake ni waje wapige dude la kisela, sio ati ako na njaa ya hela.
Huyo Mondi hivi amuite Drake aje wapige goma la kisela, ka vipi haiwezekani. Na akiweza jua katoa hela kibao Mondi tu. Sasa kwake ni hiyo ngoma iwike ndo apate pesa maradufu aka profit, kwa upande mwingine yule bingwa Drake hatojali. Ana hela tayari za kuendelea ku floss! 🤣
Hakuna kitu kama hiko unaamua, kujifurahisha, hakuna usela kwenye pesa, Dj Khalid angekuwa na jina kubwa kumzidi Drake, asingetafuta msaada kwa kina Drake, anajua wazi nyimbo itasikilizwa na wengi na pesa yake aliotumia itarudi maradufu, huo uwongo kadanganye watoto wadogo huko ahahahhahaa, kama anajiamini achukue msanii wa kawaida uone kama atalia hasara hapa
 
Duh, ila ingekuwa Diamond kweli mbabe, angetoa list ya mali zote na thamani zake, bila kusahau madeni, shubamit, awafunge, ngebe wazabizabina, period, au?!
 
Sasa Dweji kaingilia wapi? [emoji23] Haya huyo Mo, ushamskia akilia lia eti forbes ama magazine yoyote ile imeandika list ya wa wenye hela na yeye kawekwa position isiyokuwa sahihi? Hana time hiyo!
Angekua ameshushwa Angelia that's why kanye west ana hela chafu Ila pia aliwachana hao Forbes,WCB hatutakagi mazoea.
 
Angekua ameshushwa Angelia that's why kanye west ana hela chafu Ila pia aliwachana hao Forbes,WCB hatutakagi mazoea.
Hangelia nakwambia, watu wenye hela zao za maana hawana time ya kijinga ka hiyo ya kupiga kelele zisizo na faida kwake. Kanye West anawazimu, Mondi asijilinganishe na yule, ni zaidi ya WCB 😂😂 😂
 
Hakuna kitu kama hiko unaamua, kujifurahisha, hakuna usela kwenye pesa, Dj Khalid angekuwa na jina kubwa kumzidi Drake, asingetafuta msaada kwa kina Drake, anajua wazi nyimbo itasikilizwa na wengi na pesa yake aliotumia itarudi maradufu, huo uwongo kadanganye watoto wadogo huko ahahahhahaa, kama anajiamini achukue msanii wa kawaida uone kama atalia hasara hapa
Haya bhana, bakini na Mondi wenyu na visenti vyake, wenzake West A wanavuka anga za juu bila mbwembwe! 🤣
 
Haya bhana, bakini na Mondi wenyu na visenti vyake, wenzake West A wanavuka anga za juu bila mbwembwe! 🤣
West A ipi? wakati Davido alimzawadia mwanae wa miaka 5 zawadi ya Gari kwenye birthday yake, sasa mtoto wa miaka 5 na Gari wapi na wapi!! Hizi pia ni mbwembwe sema mmekuwa wavivu kufatilia
 
Back
Top Bottom