Burkinafaso,Guinea Bisau na Gunea Konakry,Sudan,Ethipia,Zambia,Mayotte ,Camaroon ,Madagascar ,Gabon .Ratiba ya mwaka jana Diamond alikuwa na show Mali,Togo na Senegal sema Corona imeharibu.
Hiyo haitoshi imesaini deal ITel mwaka huu kuwa balozi ndani ya nchi tano (Tanzania,Kenya,Uganda,Burkina Faso na Togo).
Nigeria na South alifanya kwa mialiko (sio kama hizo nyingine ambazo alikuwa yeye ndio msanii mkubwa hiyo show),South show ya MTV base x2 na ktk uzinduzi wa BET Africa.
Nigeria alifanya ktk Sound City na kuna show nahisi alialikwa na Iyanya basi.