Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi.
Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu ambapo Kuna Kambi ya wakimbizi na wanauza Hadi nyanya kacha na mikanda ya ngozi yaani haya maeneo kama Africa ya ulaya nataka nikae hapa mwezi mmoja nisome mazingira halafu nipotee sehemu ninayoiona itanifaa sirudi tena tanzania.
Wazee siku njema nashukuru Kwa nchi kuchafuka imenisaidia sana yaani huku ukisema unatoka tanzania wanakubali haraka sana tanzania imechafuka sana mwaka huu huku ulaya.
Wazee nyie endeleeni kukomboa nchi na mabango wakuu Mimi hiyo nchi sio yangu tena na sitaki mazungumzo hata na ndugu nimeondoka kama nilivo na mtoto wangu tu.