Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Endeleeni kupambania nchi yenu sisi tutawapa hamasa tukiwa ufaransaWewe ndo ile jumanne ulikuwa unatupanga tuje UN mpo wengi kumbe magrini
Daaaaah! Nakuonea wivu!Nipo zangu Paris mda huu nimewaachia nchi yenu
Njoo mkuu huku ukisema wewe unakimbia vita tanzania na ni mtanzania tu unapokelewq fastaDaaaaah! Nakuonea wivu!
Mzee wa UN mizinguo wewe🤣🤣🤣Endeleeni kupambania nchi yenu sisi tutawapa hamasa tukiwa ufaransa
Mkuu Mimi nitawahamasishakwa wivu mkubwa sana mtoke mpambanke nchi yenu sababu Mimi hiyo sio nchi yangu tenaMzee wa UN mizinguo wewe🤣🤣🤣
Umesema Paris sehemu Gani tuje tukusalimu?Nipo zangu Paris mda huu nimewaachia nchi yenu
ChaiNiliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Africa magharibi na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu ambapo Kuna Kambi ya wakimbizi na wanauza Hadi nyanya kacha na mikanda ya ngozi yaani haya maeneo kama Africa ya ulaya nataka nikae hapa mwezi mmoja nisome mazingira halafu nipotee sehemu ninayoiona itanifaa sirudi tena tanzania wazee siku njema nashukuru Kwa nchi kuchafuka imenisaidia sana yaani huku ukisema unatoka tanzania wanakubali haraka sana tanzania imechafuka sana mwaka huu huku ulaya wazee nyie endeleeni kukomboa nchi na mabango wakuu Mimi hiyo nchi sio yangu tena na sitaki mazungumzo hata na ndugu nimeondoka kama nilivo na mtoto wangu tu
Hii ni kawaida kwa akina Mama kukimbia mapambano.Wewe unadia HAKI, kaa hapa upambane .Halafu Unasifia kabisa kwenda kuuza mikanda ya ngozi Ufaransa !!!Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Africa magharibi na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu ambapo Kuna Kambi ya wakimbizi na wanauza Hadi nyanya kacha na mikanda ya ngozi yaani haya maeneo kama Africa ya ulaya nataka nikae hapa mwezi mmoja nisome mazingira halafu nipotee sehemu ninayoiona itanifaa sirudi tena tanzania wazee siku njema nashukuru Kwa nchi kuchafuka imenisaidia sana yaani huku ukisema unatoka tanzania wanakubali haraka sana tanzania imechafuka sana mwaka huu huku ulaya wazee nyie endeleeni kukomboa nchi na mabango wakuu Mimi hiyo nchi sio yangu tena na sitaki mazungumzo hata na ndugu nimeondoka kama nilivo na mtoto wangu tu