kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Mambo yalikuwa yalikuwa yanaenda ukingoni lakini Kuna kipengle wameshindwa kuelewana Haina ya YANGA na SAED RAMOVIC so deal limefeli
Tukampigie magoti ManqobaMambo yalikuwa yalikuwa yanaenda ukingoni lakini Kuna kipengle wameshindwa kuelewana Haina ya YANGA na SAED RAMOVIC so deal limefeli
Ni Sead mkuu sio Saed.SAED
Huyu ndio alituletea uzi hapaKwani kuna sehemu yanga walitangaza kwamba wanamtaka huyo kocha?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbuHuyu ndio alituletea uzi hapa
View attachment 3703183
Madam upo? Long time...aisee .😇😇😇😇
Nipo mkuu....kwema lakini?Madam upo? Long time...aisee .
Taratibu kwani unakimbizwaMambo yalikuwa yalikuwa yanaenda ukingoni lakini Kuna kipengle wameshindwa kuelewana Haina ya YANGA na SAED RAMOVIC so deal limefeli
Kwani kuna sehemu yanga walitangaza kwamba wanamtaka huyo kocha?