Dili la Ulaya sababu za Kibu Denis Kutoonekana kambini

Dili la Ulaya sababu za Kibu Denis Kutoonekana kambini

Mimi nawashangaa viongozi wangu wa Simba kuhangaika na huyu Kibu Denis, kwa kweli sijaona mchango wake kwa Simba msimu uliopita, amewasumbua kumuongezea mkataba na hadi sasa wanasumbuka naye, hana ukubwa huo anaofikiri anao.
Taja kwa jina kiongozi wa Simba aliyehangaika na Kibu, na utaje hayo unayoyaita mahangaiko
 
Ashauzwa Simba kala chake, Try again Kapiga chajuu, anakuwa replaced na awesu
 
Mimi nawashangaa viongozi wangu wa Simba kuhangaika na huyu Kibu Denis, kwa kweli sijaona mchango wake kwa Simba msimu uliopita, amewasumbua kumuongezea mkataba na hadi sasa wanasumbuka naye, hana ukubwa huo anaofikiri anao.
Si mlimuita mkandaji kwa goli moja alilowaotea Yanga?
 
Kwa nchi za wengine mchezaji mwenye mkataba na Timu haruhusiwi kuingia kwenye mazungumzo na timu nyingine bila ruhusa ya timu yake.
 
Taja kwa jina kiongozi wa Simba aliyehangaika na Kibu, na utaje hayo unayoyaita mahangaiko
Kama hujui usumbufu aliofanya kwenye majadiliano ya kuongeza mkataba na hadi sasa hajaripoti kambini basi kaa kimya tu .
 
Huyu ni wa kumwacha aende kama anataka kuondoka.
 
Kwani hana Meneja?
Naskia Yanga walimwekea ofa nono Kibu De.
Kuna msimu Yanga watasajiri wachezaji wote wa Simba.
 
Mwambie kibu.simba wamaeshika mpini yeye kashika makali.hawwzi kucheza timu yoyote bila kumalizana na simba..
Sasa atulize akili
 
Kwani hana Meneja?
Naskia Yanga walimwekea ofa nono Kibu De.
Kuna msimu Yanga watasajiri wachezaji wote wa Simba.
Na bado yanga wanakwambia hakuna mchezaji wa simba anaweza pata namba yanga.
 
Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili jipya na klabu ya simba huku akipewa gari, na pesa zote alizostaili kulipwa, na msimu ulivyoisha alikwenda mapumzikoni huko nchini marekani ambapo ndo familia yake ipo.

Kutokana na ukubwa wa dili alilopata kibu denis ulaya , imemuwia vigumu kukataa dili hiyo hivyo amekuwa hapatikani hata kwenye mtandao wa simu yake, kwani namba anayotumia sasa hivi ni mpya na anawasiliana na watu wachache sana hapa Tanzania, kibu denis atarudi nchini ili kumalizana na simba kwa maana ya kukamilisha mauzo yake kutoka simba kwenda huko ulaya, hivyo simba watapata pesa nyingi sana kupitia mauzo ya kibu denis
Hana akili.
Wakala wake pia hana akili.
 
Achana na mimi dogo fanya kazi utakufa njaa bure
Kazi za serikalini starehe tu. Hapa nimesaini mahudhurio, halafu saa nne natoka kwenda site. Kodi zenu mnaofanya kazi kwa bidii ndio zinatumika kunilipa
 
Kazi za serikalini starehe tu. Hapa nimesaini mahudhurio, halafu saa nne natoka kwenda site. Kodi zenu mnaofanya kazi kwa bidii ndio zinatumika kunilipa
Wewe unazungumzia kulipwa mshahara mimi nalipa mshahara vidampa kama wewe.
 
Back
Top Bottom