Taja kwa jina kiongozi wa Simba aliyehangaika na Kibu, na utaje hayo unayoyaita mahangaikoMimi nawashangaa viongozi wangu wa Simba kuhangaika na huyu Kibu Denis, kwa kweli sijaona mchango wake kwa Simba msimu uliopita, amewasumbua kumuongezea mkataba na hadi sasa wanasumbuka naye, hana ukubwa huo anaofikiri anao.
Try againTaja kwa jina kiongozi wa Simba aliyehangaika na Kibu, na utaje hayo unayoyaita mahangaiko
Si mlimuita mkandaji kwa goli moja alilowaotea Yanga?Mimi nawashangaa viongozi wangu wa Simba kuhangaika na huyu Kibu Denis, kwa kweli sijaona mchango wake kwa Simba msimu uliopita, amewasumbua kumuongezea mkataba na hadi sasa wanasumbuka naye, hana ukubwa huo anaofikiri anao.
Yule anatumia maguvu bila akili ya mpira yaani msimu mzima mshambuliaji goli analiona mara moja tu . Kama kuna wanaomtaka wamuuze tu aondeke zake atawatia uvivu bure wenzake .Si mlimuita mkandaji kwa goli moja alilowaotea Yanga?
Kama hujui usumbufu aliofanya kwenye majadiliano ya kuongeza mkataba na hadi sasa hajaripoti kambini basi kaa kimya tu .Taja kwa jina kiongozi wa Simba aliyehangaika na Kibu, na utaje hayo unayoyaita mahangaiko
Aende bure?Huyu ni wa kumwacha aende kama anataka kuondoka.
Kama kuna hela kachukua arudishe na penalty juu of course.Aende bure?
Naunga mkono hojaKama kuna hela kachukua arudishe na penalty juu of course.
Na bado yanga wanakwambia hakuna mchezaji wa simba anaweza pata namba yanga.Kwani hana Meneja?
Naskia Yanga walimwekea ofa nono Kibu De.
Kuna msimu Yanga watasajiri wachezaji wote wa Simba.
Ulikuwapo kwenye timu ya majadiliano?Kama hujui usumbufu aliofanya kwenye majadiliano ya kuongeza mkataba na hadi sasa hajaripoti kambini basi kaa kimya tu .
Achana na mimi dogo fanya kazi utakufa njaa bureUlikuwapo kwenye timu ya majadiliano?
Hana akili.Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili jipya na klabu ya simba huku akipewa gari, na pesa zote alizostaili kulipwa, na msimu ulivyoisha alikwenda mapumzikoni huko nchini marekani ambapo ndo familia yake ipo.
Kutokana na ukubwa wa dili alilopata kibu denis ulaya , imemuwia vigumu kukataa dili hiyo hivyo amekuwa hapatikani hata kwenye mtandao wa simu yake, kwani namba anayotumia sasa hivi ni mpya na anawasiliana na watu wachache sana hapa Tanzania, kibu denis atarudi nchini ili kumalizana na simba kwa maana ya kukamilisha mauzo yake kutoka simba kwenda huko ulaya, hivyo simba watapata pesa nyingi sana kupitia mauzo ya kibu denis
Kazi za serikalini starehe tu. Hapa nimesaini mahudhurio, halafu saa nne natoka kwenda site. Kodi zenu mnaofanya kazi kwa bidii ndio zinatumika kunilipaAchana na mimi dogo fanya kazi utakufa njaa bure
Wewe unazungumzia kulipwa mshahara mimi nalipa mshahara vidampa kama wewe.Kazi za serikalini starehe tu. Hapa nimesaini mahudhurio, halafu saa nne natoka kwenda site. Kodi zenu mnaofanya kazi kwa bidii ndio zinatumika kunilipa