Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Mkuu anza na kuweka screenshots zenye ushahidi wa line za safaricom unazouza.Lengo la uzi huu ni kupeana dili mbalimbali za kimtandao ili kupunguza angalau ukali wa maisha....[emoji16][emoji16]
LENGO NI...
1. Kupata referrals
2. Kujifunza zaidi
3. Kufundishana zaidi
4. Kupeana njia za kutusua zaidi.
5.Kulegeza hivi vyuma
Karibu weka dili lako mezani,weka na picha ya kuthibitisha malipo tuone yaliyomo yamooo...
Itapendekeza kama utauja na screenshot original ya payment ili kuaminisha wadau zaidi...
Asanteni karibuni jamvini..
Motto:: LETA KAZI HAPA,UMBEYA/MAJUNGU PELEKA KWENYE UZI WAKO
Line zimeisha mzeeMkuu anza na kuweka screenshots zenye ushahidi wa line za safaricom unazouza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122]mkuu hizi mishe unapigaje,nataka huu mwaka nisikosee tena, ufafanuzi kidogo plzMimi naanza hivi
kiaje mkuu sijakuelewa@kwa muda mbona kama hazionekani vizuri mzee
Mkuu picha kama hazionekani, dili gani hilo
Premise mzee, hiyo haina haja ya referral,app ipo playstore tu
Nafanyaje kuingiza pesaa???Premise mzee, hiyo haina haja ya referral,app ipo playstore tu
Angalia video mzee baba utakaposhindwa nipo tayari kukusaidia
Picha ya kwanza ni malipo niliyopokoa kupitia payoneer kutoka makampuni mabalimbali kama appen, kentar, meelan picha ya pili ni malipo niliyopokea kutokana na kazi za freelancing freelancers.com, malipo ya tatu ni malipo niliyopokea kupitia paypal kutokana na kuongelea masuala ya artificial intelligence huko perks.com. Zote ni kazi amabzo zinajirudia yani nazifanya kila mweziMkuu picha kama hazionekani, dili gani hilo
poa mzee naona wananiuliza maswali..mara take photooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia video mzee baba utakaposhindwa nipo tayari kukusaidia