Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Ndo ivo mzee mdogo mdogo
 
Ajiras freelancing site hapa bongo. Unaweza kujiajiri kwa kuwa freelancer.

Bongo kuna kampuni nyingi haziwezi kuajiri mtu moja kwa moja ila zinahitaji huduma mbalimbali kama za accounting, marketing na kadhalika. Wanachofanya wanawapa kazi freelancers, wana walipa kwa kazi.

Ajiras, inasaidia kukuunganisha wewe na wanaohitaji kukuajiri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…