William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa.
Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa ya kawaida sana.
Sasa aje kocha wa kigeni aanze kukataa wachezaji dili za usajili zianze upya.
Au apewe kocha mbovu zianze dili za usajili tena.