William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Wanatuwekea Moroko kweli. Wametuona sisi mazwazwaMgunda keshapigiwa simu tayari.
Kuliko kutafuta Mzungu asiye na record bora tumtumie mzawa tu.Kwa hiyo mashabiki wa simba mnamtaka Juma Mgunda! Sasa mbona mnaongea chini chini, na kwa kificho?