Dimond una bebwa sana lakin hubebek licha ya kutumia nguvu kubwa

Mbebeni anaeweza kubebeka Basi
Wengine wanabebbeka lakin hamuwabebi Kwanini Sasa?
Pohamba sio kwamba nataka kumshindanisha na mtu hapana ushaur tu huu
 
Safi kabisa
 
Kiba kapewa promo kubwa sana na clouds toka mwaka huu uanze lakini bado hakui kumzidi huyo unaomsema habebeki
AKILI KICHWANI VINGINE PELEKA CHOONI
Dah mkuu hakuna team kiba wala team mond hapa natoa ushaur kuwa jamaa akibebwa abebeke
 
yaani anaona ni bora kuimba na rickross ku capture attention na prestige ila sio nini wanatakiwa wakiimbe kuiwakilisha au kuziwakilisha nchi zao
Awakilishe nchi kwani nchi ndio ilimtuma?,kazi ya msanii ni ku capture attention na prestige ili apige hela,kifupi miziki yote ya bongoflava na dansi Tz ni miziki ya kuiga haina asili ya Tz miziki pekee yenye asili ya Tz ni miziki yenye asili ya makabila.
 
ok nchi haijamtuma,sasa mbona anasemaga mi napeleka bongo flavour kimataifa,kama hakuna mziki wa kitanzania ,basi kuna mziki wa kiafrika,umewahi jiuliza kwa kiasi gani akina Bob ludala na bendi yao ya inafrika band wanavyopiga showa za nje,wanapendwa sana nje kuzidi hata ndani,tena hwatafuti soko wanatafutwa wao,kwa nini? mziki wao una Identity ya mwafrika,sio hao tuu wapo wengi wanaokubalika nje kwa kuimba mzki wa kiafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…