kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Povu lazima liwatokesijui hiyo collabo imelipiwa na yule mzungu mmiliki wa hicho kinywaji cha belaire? maana rick ross anazungumzia hicho kinywaji,ndomo anaongea vitu vingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu lazima liwatokesijui hiyo collabo imelipiwa na yule mzungu mmiliki wa hicho kinywaji cha belaire? maana rick ross anazungumzia hicho kinywaji,ndomo anaongea vitu vingine
Safi kabisakiukweli ana ndoto njema kabisa za kufika mbali na kweli anathubutu,ila tuu haipeleki bongoflava nje kama inavyotakiwa,yaani hakuna vionjo vya kitanzania kwenye mziki wake,anakuwa kama anaimba hip hop tuu ya America,na hili kosa halifanyi Diamond tuu,hata akina Psquare na AY kwenye nyimbo yao nyimbo ilikuwa haiwna Identity ya kitanzania,ikaja AY na Sean Kingstone,nk wanaimba nyimbo za kimarekani marekani alafu wanajinasibu kuipeleka bongoflava Mtoni,wanaimba nyimbo za ku bang nk wakati mfano Rick Ross na Diamond kuna vitu wanashare kama watu wa dunia moja mbavyo vinaweza kuwa ni tatizo la kiulimwengu au hizo nchi mbili husika,kama madawa,HIV,nk
Dah mkuu hakuna team kiba wala team mond hapa natoa ushaur kuwa jamaa akibebwa abebekeKiba kapewa promo kubwa sana na clouds toka mwaka huu uanze lakini bado hakui kumzidi huyo unaomsema habebeki
AKILI KICHWANI VINGINE PELEKA CHOONI
Awakilishe nchi kwani nchi ndio ilimtuma?,kazi ya msanii ni ku capture attention na prestige ili apige hela,kifupi miziki yote ya bongoflava na dansi Tz ni miziki ya kuiga haina asili ya Tz miziki pekee yenye asili ya Tz ni miziki yenye asili ya makabila.yaani anaona ni bora kuimba na rickross ku capture attention na prestige ila sio nini wanatakiwa wakiimbe kuiwakilisha au kuziwakilisha nchi zao
ok nchi haijamtuma,sasa mbona anasemaga mi napeleka bongo flavour kimataifa,kama hakuna mziki wa kitanzania ,basi kuna mziki wa kiafrika,umewahi jiuliza kwa kiasi gani akina Bob ludala na bendi yao ya inafrika band wanavyopiga showa za nje,wanapendwa sana nje kuzidi hata ndani,tena hwatafuti soko wanatafutwa wao,kwa nini? mziki wao una Identity ya mwafrika,sio hao tuu wapo wengi wanaokubalika nje kwa kuimba mzki wa kiafrikaAwakilishe nchi kwani nchi ndio ilimtuma?,kazi ya msanii ni ku capture attention na prestige ili apige hela,kifupi miziki yote ya bongoflava na dansi Tz ni miziki ya kuiga haina asili ya Tz miziki pekee yenye asili ya Tz ni miziki yenye asili ya makabila.