Dimond una bebwa sana lakin hubebek licha ya kutumia nguvu kubwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kuna huyu bwana mdogo dimond licha ya kutumia nguvu kubwa lakin zinapotea bure tu

Jamaa anabebwa lakin habebek kabisa aisee

Rick ros kajitaid kumubeba lakin wapi had mbeleko imekatika aisee

Hubebek msela

LONDON BABY
 
Ngoma inakuja mazee boss wangu hamisa kasema lazima itoke mwaka huu huu
 
kiukweli ana ndoto njema kabisa za kufika mbali na kweli anathubutu,ila tuu haipeleki bongoflava nje kama inavyotakiwa,yaani hakuna vionjo vya kitanzania kwenye mziki wake,anakuwa kama anaimba hip hop tuu ya America,na hili kosa halifanyi Diamond tuu,hata akina Psquare na AY kwenye nyimbo yao nyimbo ilikuwa haiwna Identity ya kitanzania,ikaja AY na Sean Kingstone,nk wanaimba nyimbo za kimarekani marekani alafu wanajinasibu kuipeleka bongoflava Mtoni,wanaimba nyimbo za ku bang nk wakati mfano Rick Ross na Diamond kuna vitu wanashare kama watu wa dunia moja mbavyo vinaweza kuwa ni tatizo la kiulimwengu au hizo nchi mbili husika,kama madawa,HIV,nk
 
vionjo vipi vya kitanzania haswaaaa unavovitaka wewe..?
 
Hivi kwenye nyimbo anazoimba Diamond na wasnii wa nje,zina utambulisho wowte kwamba ukiisikia unaweza ng'amua huyu ni Mtanzania kaimba na Mmarekani,labda ukinijibu hapo ndio tutajua tunaanzaje na swali lako
 
kiukweli ana ndoto njema kabisa za kufika mbali na kweli anathubutu,ila tuu haipeleki bongoflava nje kama inavyotakiwa,yaani hakuna vionjo vya kitanzania kwenye mziki wake,anakuwa kama anaimba hip hop tuu ya America,na hili kosa halifanyi Diamond tuu,hata akina Psquare na AY kwenye nyimbo yao nyimbo ilikuwa haiwna Identity ya kitanzania,ikaja AY na Sean Kingstone,nk wanaimba nyimbo za kimarekani marekani alafu wanajinasibu kuipeleka bongoflava Mtoni,wanaimba nyimbo za ku bang nk wakati mfano Rick Ross na Diamond kuna vitu wanashare kama watu wa dunia moja mbavyo vinaweza kuwa ni tatizo la kiulimwengu au hizo nchi mbili husika,kama madawa,HIV,nk
Pengine anatafuta attention kwao ili watupie jicho kuona watanzania ni nani hasa na wananini kwenye muziki. Kuingia moja kwa moja na style ya kibongo total kama wanavyoimba wakina Aslay maybe wameona haitampa nafasi ya kusikilizwa au kufuatiliwa na watu wa nje
 
Kiba kapewa promo kubwa sana na clouds toka mwaka huu uanze lakini bado hakui kumzidi huyo unaomsema habebeki
AKILI KICHWANI VINGINE PELEKA CHOONI
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kuna huyu bwana mdogo dimond licha ya kutumia nguvu kubwa lakin zinapotea bure tu

Jamaa anabebwa lakin habebek kabisa aisee

Rick ros kajitaid kumubeba lakin wapi had mbeleko imekatika aisee

Hubebek msela

LONDON BABY
Nenda mahakamani
 
Pengine anatafuta attention kwao ili watupie jicho kuona watanzania ni nani hasa na wananini kwenye muziki. Kuingia moja kwa moja na style ya kibongo total kama wanavyoimba wakina Aslay maybe wameona haitampa nafasi ya kusikilizwa au kufuatiliwa na watu wa nje
Hata hivi pia anavyofanya,nyimbo zake zikienda sana basi ni miezi mitatu,ingawaje ana nia nzuri sana ya kuifikisha bongo mbele,ila mbele kwenyewe hatufiki,kuna kitu pia kinaweza kikawa,akiwa anaomba collabo na msanii maarufu,anashindwa kumpa masharti na otion yake vipi anataka hiyo ngoma iwe,yaani anaona ni bora kuimba na rickross ku capture attention na prestige ila sio nini wanatakiwa wakiimbe kuiwakilisha au kuziwakilisha nchi zao
 
sijui hiyo collabo imelipiwa na yule mzungu mmiliki wa hicho kinywaji cha belaire? maana rick ross anazungumzia hicho kinywaji,ndomo anaongea vitu vingine
 
Back
Top Bottom