Dina Marios aacha rasmi kutangaza Leo tena

Hekaheka ipo kila siku. Tena ndiyo iliyobeba kipindi kizima. Gea ananifurahishaga sana akuuli visa mbalimbali vya hili jina.Na yule bi Ponza anavyotoa makavu live. j[QPUOTE=Gossipcopwarumi;9494707]Kweli kabisa hekheka ni Nouma full maudaku[/QUOTE]
 
Hekaheka ipo kila siku. Tena ndiyo iliyobeba kipindi kizima. Gea ananifurahishaga sana akuuli visa mbalimbali vya hili jina.Na yule bi Ponza anavyotoa makavu live. j[QPUOTE=Gossipcopwarumi;9494707]Kweli kabisa hekheka ni Nouma full maudaku
[/QUOTE]
Heka heka ni Nouma sana , geah hatar , huyo bi ponza nae ni habar nyingine
 
Samahani wadau nauliza tu DINNA alivyosema alikuwa mtangazi no mbili kwa kupendwa TZ NZIMA KUTOKANA NA research JE wa kwanza ni nani? karibu WARUMI KUNIJIBU.
 
Nilijua tu kuzaa na Reuben Ndege watu na visasi vyao watamtoa, kwanza wali mind sana Dinna na Gea kushika mimba pamoja ila Gea kwasababu Yuko ktk ndoa haikuwa issue, waliona kama kuhujumu kipindi.
 
Samahani wadau nauliza tu DINNA alivyosema alikuwa mtangazi no mbili kwa kupendwa TZ NZIMA KUTOKANA NA research JE wa kwanza ni nani? karibu WARUMI KUNIJIBU.

Hyo cha mtoto , nini utangazaji bora?? Mwenzio alishindaga kuwa mwanamke bora wa mwaka , yaan hawa clouds wanachezaga sana na akili zetu
 
Nimesikia alishafunga ndoa na ncha kali sijui kweli au uzushi wa watu.
 
Nimesikia alishafunga ndoa na ncha kali sijui kweli au uzushi wa watu.

Hawajafunga hata kwanza Ruben ni player mno na hadi mwaka jana walikuwa wamegombana, naona walupopatana Dina akaamua kutegesha maana baada ya ujauzito na kujifungua Nchakali ndo akajirudi na kumuomba msamaha Dina na sasa wanaishi pamoja.
 
Aiseeeee
Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…