uuuuuupsi mbavu zangu nikikumbuka ule uzi nacheka sana jf jamani inanipa raha hta upweke hakuna...
mmi ndo nilikuwa na kkundi cha kuomboleza kulia hadi kuzimia na kuimba
pole sana kwa shemeji kukumaind kwa maana ule uzi ulikuwa so hot
Kwi kwiiii kwiiii, dah ongea n shemej bna ajue kabisa hii ndo kaz uliyoichagua n kuipenda kwa moyo wote , so inabid atoe ushirikiano
We akiwepo humu sigusiii nikose umotoooo mie halaf si unajua umoto unatofautianaa achaaaa kabisa
We furah tu nimo siku akisema stop kuingia jamiu hunionii hapo ni kwingineee hapana chezeaaaa
Mmh jinsi umbea ulivyokuingia kwenye damu utaacha jf kweli? Maana umbea wa vibarazani umeshapitwa na wakat
moyo wangu utauwezaa ww
Jaribu kunipa uone....
Hayaa wambea wenzetu wajeee usipokoment umetuogopaaa ukikoment we mbea mwenzetu tena umekubuhuuu yalaaaa yalaaaaaaaa
tumekuja jaman eenhee
Acha tu, maana hata uko siasan wanaongea umbea tu, sema tofaut ya umbea wao ni wa kisiasa sisi wetu wa wasanii, ila jukwaa la siasa na celebrity forum ndio yanaongoza kwa umbea binamu
Tumerud kwa speed zotee
Karibu umbeanii shostitooooooo
ila alikuwa anapendezea kile kipindi
Sanaa yule mbea mwenzetu kiboko ya magari mabovu halaaaaaa
huhuhuuuuuu hamshindi gea jaman