Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm, Dina Marios, leo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefunguka kuhusu tetesi zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu bifu lake na mtangazaji mwenzie, Zamaradi Mketema pamoja na kufukuzwa kazi kwenye kituo hicho.

" Kuna kitu naomba nikiweke clear kumekuwa na maneno mengi yanazunguka kuwa nina ugomvi na Zamaradi. Mimi sina ugomvi na Zamaradi sijui ndio amechangia mimi kutolewa kwenye leo tena.

Thats not true wala nguvu hiyo hana. Sijajua why watu husema hivyo ila sina ugomvi nae.Hata yeye anajua hatuna ugomvi wowote.Nilipotoka pale niliamua kubadili mfumo wangu wa maisha hivyo hatuna ukaribu kama zamani.Ila haimaainishi tuna ugomvi."
 

Attachments

  • 1433678124906.jpg
    52.9 KB · Views: 5,394
Siku zote ukitaka watu wasijue ukweli we nyamaza kimya tu, watu wataongea weee ila kamwe hawawezi kuujua ukweli, mwisho wa siku watanyamaza, ila ukihubutu tu kufungua mdomo wako baasi watu watajua kila kitu, ukweli wote umejulikana sasa
 
Aaah kumbe katimuliwa si nilisikia kahamishiwa clouds tv:what::what:
 
Dina anaweza Leo tena sioni utamu wake kama alivyokuwepo Dina
 
kle kizama kinaonekana tuu kna roho mbay!! hueda klfny figsufgisu kw ruge mpk dada aa watu kawekwa benchi
 
Siku zote ukitaka watu wasijue ukweli we nyamaza kimya tu, watu wataongea weee ila kamwe hawawezi kuujua ukweli, mwisho wa siku watanyamaza, ila ukihubutu tu kufungua mdomo wako baasi watu watajua kila kitu, ukweli wote umejulikana sasa



Umenikumbusha enzi zile za kitabu cha Juma na Roza na ile hadithi: heri mimi sijasema.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…