Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uwezo wa kunifukuza, duh apa kweli kuna harufu ya bifu
Sio dharau ila huo ndo ukweli......ingawa me nachokiona yeye Zama ni sababu ya huyu bi mdashi kuwekwa benchi
Umenikumbusha enzi zile za kitabu cha Juma na Roza na ile hadithi: heri mimi sijasema.
Vv
Cheusi dawa anajiona ye ndo bosslady pale mjengon,ndio maana hakinenepi kwa roho mbya
Sasa kwa nini anasema hana uwezo ilihali anajua fika zama ni kitu cha ruge anamshusha cheo zama
Yule kimbao mbao na yeye anajishaua mxiuuu angekuwa mzuri sijui ingekuwaje na ucheus dawa wake
Cheusi dawa anajiona ye ndo bosslady pale mjengon,ndio maana hakinenepi kwa roho mbya
Anajifanyaga mzungu mxiuuu na mifupa yake kama mait za cadaver
Kuwa kiburudisho cha Ruge akimpi mandate yakumfukuza kazi Dina isipokuwa ana influence kubwa huyo Zama....coz Dina hajaajiriwa na Zama.
Ila hivi vibirudisho vya bosi vinakuwaga vitata
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Boss wa efm hajamuona dina maana ncha kal yopo efm..
Hahahahaaa, nilibahatika kukisoma ila nilikua mdogo sana hadi sikumbuki vizuri.
Usishindane na mtu anaeongea kavua nguo
Dina bila kujijua keshagombana na chausiku hehehehe
Hahahahahaa, watu wanamuitaga zama minjino!
Mungu anisamehe maana mm siumbi, huyo minjino huwa simpendagi tuu sijui kwnn tuu.Hahahahahaa, watu wanamuitaga zama minjino!
Hahahahahaa, watu wanamuitaga zama minjino!