Kwenye swala la kupigwa tu hawajambo nguo za kushona china watu wanauziwa mamilion si bora ushonewe na madizaina wa bongo
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo
Hilo neno linatosha kuthibitisha kuna bifu kabisaaaaa yani anamdharau zama::what::what:
Aende sehemu nyingine kutafta life ni popote hata akirudi sidhani ka atakua na amani huyo Ruge ni mzee wa revenge sana huyo.Tena Dina ni mtangazaji mzuri tu atafanikiwa kokote.
hahaahaa, hiyo ni kweliUsishindane na mtu anaeongea kavua nguo
Kwa uzoefu na kipaji cha Dina hawazi kukosa kazi Tanzania, labda kama ameamua kufanya shughuli zake mwenyewe
BTW niliona kama kuna mahali umeandika kwamba yuko capital au?
Tutamsapoti wambea wenzie, asikate tamaa tupo pamoja nae
Bado tunasikiliza baadhi ya vipindi kama vya michezoHivi bado mnasikiliza clouds...
Mi nilisha acha kitambo
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Mmh!Anajifanyaga mzungu mxiuuu na mifupa yake kama mait za cadaver