Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Tutapata A TO Z kwa Mange, ngoja amalizane na Nacky.
 
Mpola muno Dina! Allah akwebembele...
 
ila kizama minjino kinajisikia sana looooh....kinanichosha mie
 
Hilo neno linatosha kuthibitisha kuna bifu kabisaaaaa yani anamdharau zama::what::what:

Kwi kwi kwi kweli kabisa Anamzarau mke wa boss alitakiwa amnyenyekee adi watoto wake anyenyekee Aya sasa amewekwa benchi Lakin maisha ni popote
 
Back
Top Bottom