Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe kama umekurupushwa huko ulipokuwa unataka niyamwage hapa niwe kama mange
Lipi hilo
Dina alisema mwenyewe kuwa tusiwaone wanatangaza uku wana tabasamu, moyoni mwao hawana amani, wanavuja damu, so yupo sahihi, na uenda kawasemea na wengine ambao bado wanaficha maumivu yao na anawajua
Hujajibu swali langu hata moja ambayo ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.
Kudhania siyo kosa na kutokujua kitu si kosa.
Lakini napatwa na shaka hata kama unajua tofauti kati ya kudhani na kujua.
Unaijua tofauti yake?
Hata kuuliza swal ni aina nyingine ya kujibu swali
naomba unionyeshe wap nilipoandika nadhani alf urud hapa tuendelee..
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...Okay,
Alisema lini, wapi, na katika muktadha upi?
Maana asije kuwa alimaanisha na wao ni watu wa kawaida wanaopitia mengi kama ilivyo kwa watu wengine lakini nyie mkatafsiri vibaya na kudhani kuwa alikuwa akizungumzia kuhusu sehemu afanyiayo kazi.
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo
Masikini dina!! Post yake inahuzunisha
Unataka nikuonyeshe wapi ulipoandika kwamba 'unadhani' kwani mimi nimesema wewe unadhani?
Ni wazi kuwa nilichokiandika hujakisoma na kukielewa vizuri.
Ngoja nikusaidie basi, sawa?
Ni hivi, nimeandika kwamba kwa vile wewe hujajibu swali langu hata moja, kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.
Sasa, mimi kuandika hivyo si kwamba nasema wewe unadhania. La hasha, bali nasema kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui.
Unajua maana ya dalili?
Siku izi kaokoka, naona anajipigaga ma selfies kanisan, nyie yule ray c kwel mtambo, naona methadone hazijafanya kz bado
Ss ww ni mgen kabisaaaaaa katika fan hii ya umbea ukitaka kuuliza maswal ya kimbea yana uulizwaj wake sio styl ya maswal ya polis ndio uulize kwenye umbea hutaambiwa ukwelKuna binadamu asiyependa umbea?
Umbea/ udadisi ni sehemu ya hulka ya binadamu kama ilivyo furaha, majonzi, masikitiko, na kadhalika.
Kujifanya hupendi umbea ni unafiki wa daraja la kwanza.
Tofauti yangu na watu wengine (kama wewe) ni kwamba, mimi napenda kujua ukweli halisi kuliko kutegemea usadiki.
Na ndo maana unaona nauliza maswali. Kuuliza kwangu huko kuna lengo la kujua, na si kudhani wala kusadiki.
Sasa hata ukiangalia kilichopelekea mimi kuuliza hayo maswali ni muktadha. Unajua maana ya muktadha wewe?
Kwa sababu muktadha unatoa mwanga zaidi kuhusu mazingira ambayo hizo kauli zilitolewa.
Maana inawezekana kabisa huyo dada alikuwa akizungumzia maisha tu kiujumla na si sehemu afanyiayo kazi na mwingine akachukulia kuwa alikuwa akizungumzia sehemu afanyiayo kazi kumbe wala sivyo kabisa.
Ila nina mashaka makubwa sana hata kama unanielewa ninachokiandika hapa.
Ww bwana ww mm mtu mzma mwenzako kwahiyo unataka nikwambie fulan ni jamaa yangu wa karibu kwahiyo huwa ananiambiaga yanayomsibu au fulan ni kamchepuko kangu kwahiyo data zote huwa ananipa aah!Chief eeh hapa hatusutan ila ninachokiandika nakimaanisha
Ss ww ni mgen kabisaaaaaa katika fan hii ya umbea ukitaka kuuliza maswal ya kimbea yana uulizwaj yake sio styl ya maswal ya polis ndio uulize kwenye umbea hutaambiwa ukwel
Masikini dina!! Post yake inahuzunisha
Mtu yupo kwenye fedha na still mwembamba kama mkaanga sumu lazima atakuwa na roho mbaya inayomtafuna mwili,ukiona mtu yupo vizuri kimaisha na mwembamba kama reli basi jua ana roho mbaya.
Cc: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)