Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Usiwe kama umekurupushwa huko ulipokuwa unataka niyamwage hapa niwe kama mange

Hujajibu swali langu hata moja ambayo ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.

Kudhania siyo kosa na kutokujua kitu si kosa.

Lakini napatwa na shaka hata kama unajua tofauti kati ya kudhani na kujua.

Unaijua tofauti yake?
 
Dina alisema mwenyewe kuwa tusiwaone wanatangaza uku wana tabasamu, moyoni mwao hawana amani, wanavuja damu, so yupo sahihi, na uenda kawasemea na wengine ambao bado wanaficha maumivu yao na anawajua

Okay,

Alisema lini, wapi, na katika muktadha upi?

Maana asije kuwa alimaanisha na wao ni watu wa kawaida wanaopitia mengi kama ilivyo kwa watu wengine lakini nyie mkatafsiri vibaya na kudhani kuwa alikuwa akizungumzia kuhusu sehemu afanyiayo kazi.
 
Hujajibu swali langu hata moja ambayo ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.

Kudhania siyo kosa na kutokujua kitu si kosa.

Lakini napatwa na shaka hata kama unajua tofauti kati ya kudhani na kujua.

Unaijua tofauti yake?

Hata kuuliza swal ni aina nyingine ya kujibu swali...
Ukisoma vizur maneno yangu namaanisha na najua ninachokisema
 
Hata kuuliza swal ni aina nyingine ya kujibu swali
naomba unionyeshe wap nilipoandika nadhani alf urud hapa tuendelee..

Unataka nikuonyeshe wapi ulipoandika kwamba 'unadhani' kwani mimi nimesema wewe unadhani?

Ni wazi kuwa nilichokiandika hujakisoma na kukielewa vizuri.

Ngoja nikusaidie basi, sawa?

Ni hivi, nimeandika kwamba kwa vile wewe hujajibu swali langu hata moja, kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.

Sasa, mimi kuandika hivyo si kwamba nasema wewe unadhania. La hasha, bali nasema kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui.

Unajua maana ya dalili?
 
Okay,

Alisema lini, wapi, na katika muktadha upi?

Maana asije kuwa alimaanisha na wao ni watu wa kawaida wanaopitia mengi kama ilivyo kwa watu wengine lakini nyie mkatafsiri vibaya na kudhani kuwa alikuwa akizungumzia kuhusu sehemu afanyiayo kazi.
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo
 
Kuna binadamu asiyependa umbea?

Umbea/ udadisi ni sehemu ya hulka ya binadamu kama ilivyo furaha, majonzi, masikitiko, na kadhalika.

Kujifanya hupendi umbea ni unafiki wa daraja la kwanza.

Tofauti yangu na watu wengine (kama wewe) ni kwamba, mimi napenda kujua ukweli halisi kuliko kutegemea usadiki.

Na ndo maana unaona nauliza maswali. Kuuliza kwangu huko kuna lengo la kujua, na si kudhani wala kusadiki.

Sasa hata ukiangalia kilichopelekea mimi kuuliza hayo maswali ni muktadha. Unajua maana ya muktadha wewe?

Kwa sababu muktadha unatoa mwanga zaidi kuhusu mazingira ambayo hizo kauli zilitolewa.

Maana inawezekana kabisa huyo dada alikuwa akizungumzia maisha tu kiujumla na si sehemu afanyiayo kazi na mwingine akachukulia kuwa alikuwa akizungumzia sehemu afanyiayo kazi kumbe wala sivyo kabisa.

Ila nina mashaka makubwa sana hata kama unanielewa ninachokiandika hapa.
 
Unataka nikuonyeshe wapi ulipoandika kwamba 'unadhani' kwani mimi nimesema wewe unadhani?

Ni wazi kuwa nilichokiandika hujakisoma na kukielewa vizuri.

Ngoja nikusaidie basi, sawa?

Ni hivi, nimeandika kwamba kwa vile wewe hujajibu swali langu hata moja, kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.

Sasa, mimi kuandika hivyo si kwamba nasema wewe unadhania. La hasha, bali nasema kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui.

Unajua maana ya dalili?

Ww bwana ww mm mtu mzma mwenzako kwahiyo unataka nikwambie fulan ni jamaa yangu wa karibu kwahiyo huwa ananiambiaga yanayomsibu au fulan ni kamchepuko kangu kwahiyo data zote huwa ananipa aah!Chief eeh hapa hatusutan ila ninachokiandika nakimaanisha
 
Siku izi kaokoka, naona anajipigaga ma selfies kanisan, nyie yule ray c kwel mtambo, naona methadone hazijafanya kz bado

Kumbeeee.....kuna kipindi nilikuwa namchungulia ila baadae akaweka private account yake
 
Kuna binadamu asiyependa umbea?

Umbea/ udadisi ni sehemu ya hulka ya binadamu kama ilivyo furaha, majonzi, masikitiko, na kadhalika.

Kujifanya hupendi umbea ni unafiki wa daraja la kwanza.

Tofauti yangu na watu wengine (kama wewe) ni kwamba, mimi napenda kujua ukweli halisi kuliko kutegemea usadiki.

Na ndo maana unaona nauliza maswali. Kuuliza kwangu huko kuna lengo la kujua, na si kudhani wala kusadiki.

Sasa hata ukiangalia kilichopelekea mimi kuuliza hayo maswali ni muktadha. Unajua maana ya muktadha wewe?

Kwa sababu muktadha unatoa mwanga zaidi kuhusu mazingira ambayo hizo kauli zilitolewa.

Maana inawezekana kabisa huyo dada alikuwa akizungumzia maisha tu kiujumla na si sehemu afanyiayo kazi na mwingine akachukulia kuwa alikuwa akizungumzia sehemu afanyiayo kazi kumbe wala sivyo kabisa.

Ila nina mashaka makubwa sana hata kama unanielewa ninachokiandika hapa.
Ss ww ni mgen kabisaaaaaa katika fan hii ya umbea ukitaka kuuliza maswal ya kimbea yana uulizwaj wake sio styl ya maswal ya polis ndio uulize kwenye umbea hutaambiwa ukwel
 
Ww bwana ww mm mtu mzma mwenzako kwahiyo unataka nikwambie fulan ni jamaa yangu wa karibu kwahiyo huwa ananiambiaga yanayomsibu au fulan ni kamchepuko kangu kwahiyo data zote huwa ananipa aah!Chief eeh hapa hatusutan ila ninachokiandika nakimaanisha

Ni wazi kuwa hunielewi kabisa.

Mimi wala sijataka utaje majina ya watu hapa.
 
Ss ww ni mgen kabisaaaaaa katika fan hii ya umbea ukitaka kuuliza maswal ya kimbea yana uulizwaj yake sio styl ya maswal ya polis ndio uulize kwenye umbea hutaambiwa ukwel

Sitaambiwa ukweli kwa sababu hata hao mamesenja wa huo umbea hawana uhakika na umbea wao.

Ndiyo maana ukiwabana kwa maswali mahsusi huwezi kupata jibu.

Unachopata ni miduara na mizunguruko tu.

Na mwisho wa siku yanabakia kuwa ni maneno tu ya watu na yasiyo na uthibitisho wowote, na haya ndiyo huvutia sana watu wenye akili ndogo na nyepesi.
 
Mtu yupo kwenye fedha na still mwembamba kama mkaanga sumu lazima atakuwa na roho mbaya inayomtafuna mwili,ukiona mtu yupo vizuri kimaisha na mwembamba kama reli basi jua ana roho mbaya.

Cc: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Kwani huo wembamba hauwezi tu kuwa mwili/ umbile lake?
 
Back
Top Bottom