Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaana hapo juu huoni?
Mtoto anapua ndefu ka Msonjo yaani we acha tu.
pyutiful gal....love you na kazi yako uko juuuuuu
yah man.....huyu shori sio fake,hana mapepe.....anafaa kuwa mke ila tatizo bonge......To be honest, I deeply admire this lady. Sijawahi kukutana naye...ila nimemfahamu zaidi kupitia blog yake. Inaonekana ni dada anayejua anachokifanya and from her writings and her voice. she seem to be REAL. By the way she is beutiful and nice looking. Wale mnaomponda mdada wa watu nadhani you got nothing positive to say about others. But just get it..huyu dada ni mzuri.
Dina, kama unapita humu, I wish you the very best katika kazi zako na mola akutangulie. With hard work and determination, you will certainly achieve your dreams.