Dina Marios: Angel face!!!

Naamini Binadamu wote wameumbwa kwa mfano wa Mungu, ku question uzuri wa sura ya mtu maana yake una question uumbaji wa Mungu. Cha kumshauri tu ni afanye mazoezi na apunguze kula apungue hayo ya sura mbaya au nzuri tuachane nayo.
 
haya jamani ndio matatizo ya wanaweke wenye kazi nzuri anasema ninanukuu '' mimi nilivyo na maisha yangu nayafurahia sihitaji mume '' jamani demu gani huyu asiyependa kukunwa ? Asiyependa ndoa anataka afike meno....... Ndio aolewe ........ Watch out ?
 
bila shaka kama alivyosema ni kwamba ataolewa muda ukifika, tumpe nafasi.
 
ni kweli angel face huyu binti.

 
Unamaana hapo juu huoni?

Mtoto anapua ndefu ka Msonjo yaani we acha tu.

Ama kweli "Beauty is in the eyes of the beholder". Inaonekana wewe ukishaona pua ndefu na "ka Msonjo" (ukweli sijui haka ni kadude gani) basi unatia vema.
 
Hakuna uzuri uliozidi hapa, ni kama binadamu wengine tu.
 
To be honest, I deeply admire this lady. Sijawahi kukutana naye...ila nimemfahamu zaidi kupitia blog yake. Inaonekana ni dada anayejua anachokifanya and from her writings and her voice. she seem to be REAL. By the way she is beutiful and nice looking. Wale mnaomponda mdada wa watu nadhani you got nothing positive to say about others. But just get it..huyu dada ni mzuri.

Dina, kama unapita humu, I wish you the very best katika kazi zako na mola akutangulie. With hard work and determination, you will certainly achieve your dreams.
 
Mmmmhhhhh!, Mimi Sisemi KITU!!!!!
 
yah man.....huyu shori sio fake,hana mapepe.....anafaa kuwa mke ila tatizo bonge......
 
Kana uso laiiini mpaka basi..
 
Kwa face ni beauty lakini body ni ishu, lakini ndio hivyo mungu hakupi kila kitu na kazi yake (Mungu) haina makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…