Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
🤣 🤣 🤣 🤣 umekuja haraka haraka kukanusha kwamba Dina anayeongelewa sio wewe
nadhan alitania mim sio mtangazaji
Ila mavazi kuvaa hovyoo bila mpangilio tunaendanaa aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 umekuja haraka haraka kukanusha kwamba Dina anayeongelewa sio wewe
Haaha[emoji1787][emoji1787][emoji28]Mtu yupo kama kitimotoo alafu anavaaa ovyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nadhan alitania mim sio mtangazaji
Ila mavazi kuvaa hovyoo bila mpangilio tunaendanaa aisee
Basi kina Dina wengi kama sio wote, mnaendana u-hovyo wa mavazi!!
Wanamdiscuss Dina Mario ndio Nikakumbuka kuna mtu anaitwa Ncha Kali.Naam, mimi hapa.... kuna habari gani Mzee!
😂😂Watu mna muda wa kuchezea, sasa wewe maisha yake yanakuhusu nini..!?
Mwache aishi apendavyo na impendavyo mwenzi wake..
Sent from my iPhone using Tapatalk