Dina Marios vs Reuben Ndege LIVE

Bora bana maana uchumba mwingine mnaweza kuzeeka nao!!
 
sasa hiyo picha yanini umeweka huku ukijua wambea wapo na wanasubiri umbea wanawashwa na umbea
 
komenti zako huwa zinaniogopesha nimejaribu kukufatilia kwa muda sasa...au huwa unafunguliwa bolt nini?
 
Ilikuwa ijumaa kwenye kipindi cha leo tena, alikuwa anaaga wasikilizaji wake..

Alisema kabisa ni ujauzito wa Reuben Ndege??? Ila kwa kweli kwa nyendo zao hawa walikuwa wapenzi ila hawakuweka hadharani. Hata kuna wakati Dina Marios alikuwa anatumia namba ya Reuben Ndege (0763 815..3) kwenye leo tena kwa ajili ya watu kutuma MSG!
 
Kumbe huyo ndio Dina Mariosi eeeeh?

"Nlikuwepo":bolt:
 
kwani nikisema vs huwa natakiwa kumaanisha nini?
NAULIZA TU
 
umbea utawauwa....kwani mtu hawezi kupiga picha hivyo na rafiki yake?
Preta, hata mimi nimeona ni umbea wa mchana kweupe kabisa..............

 
Last edited by a moderator:
Kumbe huyo ndio Dina Mariosi eeeeh?

"Nlikuwepo":bolt:

sasa siku ukimuona mdada mwenye sauti nzuri redioni babra hassan wa clouds fm,ndio utashangaa zadi kuliko nilivyo shangaa mimi......acha tuu.
 
sasa siku ukimuona mdada mwenye sauti nzuri redioni babra hassan wa clouds fm,ndio utashangaa zadi kuliko nilivyo shangaa mimi......acha tuu.

Una picha yake nae?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wanawake kwa umbea ndio maana hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…