Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongereni sana dina na reuben..wote nawapenda sana..dina ni wife material
Kumbukachawajaoana. Wanapata mtoto tu. Na kila mmoja ana kwake.Bora bana maana uchumba mwingine mnaweza kuzeeka nao!!
Ametangazia wapi??? Source plz .........
Soory kuuliza si ujinga huyu Reuben Ndenge ndio nani?
Ilikuwa ijumaa kwenye kipindi cha leo tena, alikuwa anaaga wasikilizaji wake..
Haaaaa
post yenyewe ya 2011
Kumbe huyo ndio Dina Mariosi eeeeh?
"Nlikuwepo":bolt:
sasa siku ukimuona mdada mwenye sauti nzuri redioni babra hassan wa clouds fm,ndio utashangaa zadi kuliko nilivyo shangaa mimi......acha tuu.
Iyo clouds media ni love connect,Ruge alizaa na Mketema,haya Uyo Dina na Reuben. Wanagegedana wenyewe kwa wenyewe.