Unafika mwandiko na sura ya mtu havimatch.Ndio kukimbiana kunaanza sasa
Hahahahaha mtu anatishaa balaa mpaka unataka kuzimia,ulivyomuumba sasa malaika hatoshiUnafika mwandiko na sura ya mtu havimatch.
Ndio maana yake uvumilie tu atakavyokuwa na gharama zake umludishie hivyo hivyoKwa hiyo inabidi kuvumilia tu,
Hahahaaa.Hahahahaha mtu anatishaa balaa mpaka unataka kuzimia,ulivyomuumba sasa malaika hatoshi
Bure tuKanianbia anakupenda pia mkuu.
Kaniambia kweli vile.Hahahah we mtanga kakuambia saa ngapi
Eti haamini.Bure tu
WeweeEti haamini.
Sema hela zake napokea mimi.[emoji120] [emoji120]
Sawa shemeji.Usijali
hahahaha we jamaa nguruwe haramu humu..., em tulia bana
Nini machine ya EFD hata ukitaka Withholding Tax Certificate nakupa.Shem machine ya EFD si unayo!!
Kila kitu kipo kamili.Nakuaminia
Ndo somo umfunde mwari