Dinazarde nakupenda

Dinazarde nakupenda

Laiti ningepewa walau sekunde moja ningekuambia vile nakuhusudu toka nikujue hapa jf!!!

Nitahitaji wino wa wingi wa bahari kukueleza mahaba yangu kwako!

Unanijia ndotoni nilalapo niamkapo natembea nawe moyoni

Uendelee kupona haraka nije nikuambie jambo flani
hiv hawa ma manzi mshakutana nao?
kuna kazi 3 nimeweka karibuni hapa jukwaani zinamakelele hizo kila jukwaa zipo na zinasifiwa kweli bt kazi za kawaida sana tofaut na sifa wanazopewa hapa.
[HASHTAG]#hoply[/HASHTAG] ntaandika uzi kuhusu wao.
 
Na mimi nipo ?
 
Nenda Mwanza kwenye hivi viwanja vyake humkosi
Villa park
Tilapia
Club 55
Golden crest
Fussion
 
Back
Top Bottom