Jana alikuwa Mama John pale Mjini Mbeya, leo atakuwa nane nane kwa John MwakangaleWasaalam,
namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana
nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano
nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu
Wasaalam
HoE.
haa aa jana ulienda kumpokea Majaliwa Songwe.Jana alikuwa Mama John pale Mjini Mbeya, leo atakuwa nane nane kwa John Mwakangale
Dinnazarde anatumikia adhabu (BAN). Atafunguliwa siku ya leo muda wowote.Wasaalam,
namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana
nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano
nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu
Wasaalam
HoE.
haaaaa Gobe wasamehe bure jamani... huyo mwingine umemsahau jina
Thanks for the info....Dinnazarde anatumikia adhabu (BAN). Atafunguliwa siku ya leo muda wowote.
Asante.
haa aa eti ukakimbia Jf kwa muda ilikua mada gani hiyo????Yaani mpaka waniombe msamaha kwa kweli waliniaibisha aisehhhh mimi nachangia sijui mtu sasa kumbe kikawa kinawakera. Walinitukana nikakimbia jf kwa muda kukwepa aibu
hhhhaaaaahhhhaaa!!jamani loohh!Yaani mpaka waniombe msamaha kwa kweli waliniaibisha aisehhhh mimi nachangia sijui mtu sasa kumbe kikawa kinawakera. Walinitukana nikakimbia jf kwa muda kukwepa aibu
Pole mwayaYaani mpaka waniombe msamaha kwa kweli waliniaibisha aisehhhh mimi nachangia sijui mtu sasa kumbe kikawa kinawakera. Walinitukana nikakimbia jf kwa muda kukwepa aibu
Ndege yake ilitua eyapoti ya mjini/mafiati tulimpokea pale Mbeya Carnivalhaa aa jana ulienda kumpokea Majaliwa Songwe.
ukimuona mwambie namsaka
Kafanyaje tena jamani?Dinnazarde anatumikia adhabu (BAN). Atafunguliwa siku ya leo muda wowote.
Asante.
Matumizi ya Lugha ya matusi.. Yeye na mwenzie wote walitumikia adhabu kwa kushindwa kuhimili hisia zao kwenye public domain na kufikia hatua ya kutukanana.Kafanyaje tena jamani?
Asante kwa ufafanuzi boss...Matumizi ya Lugha ya matusi.. Yeye na mwenzie wote walitumikia adhabu kwa kushindwa kuhimili hisia zao kwenye public domain na kufikia hatua ya kutukanana.
Ni busara kuripoti pale mtu unapokwazwa na mwingine nasi tutatafuta suluhu. Si vyema kutukanana mitandaoni. Sheria za JF na hata za nchi haziruhusu.
Hata hivyo yuko huru sasa.
Asante.
njoo wewe jamani
ndo maana Gobe analalamikaMatumizi ya Lugha ya matusi.. Yeye na mwenzie wote walitumikia adhabu kwa kushindwa kuhimili hisia zao kwenye public domain na kufikia hatua ya kutukanana.
Ni busara kuripoti pale mtu unapokwazwa na mwingine nasi tutatafuta suluhu. Si vyema kutukanana mitandaoni. Sheria za JF na hata za nchi haziruhusu.
Hata hivyo yuko huru sasa.
Asante.
ndo maana Gobe analalamika
Thats Manhood!Huyo Dinazarde mi nishamsamehe kwa kweli sina shida naye tena jamani. Unajua huku jf niko na Baba yangu wa kunizaa pamoja na Mama yangu ukitukana sasa unategemea nini maana Wazazi wote wananiona kinachofuata kugombezwa sasa na umri huu nigombezwe si bora nijifiche aibu ipite
btw karibu sana mpendwa pole na ban naomba tusamiane tulipokwazana Dinazarde
sound goodHuyo Dinazarde mi nishamsamehe kwa kweli sina shida naye tena jamani. Unajua huku jf niko na Baba yangu wa kunizaa pamoja na Mama yangu ukitukana sasa unategemea nini maana Wazazi wote wananiona kinachofuata kugombezwa sasa na umri huu nigombezwe si bora nijifiche aibu ipite
btw karibu sana mpendwa pole na ban naomba tusamiane tulipokwazana Dinazarde
She is sleeping right now with meWasaalam,
namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana
nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano
nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu
Wasaalam
HoE.