DINGI

DINGI

Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE....

Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Mi dingi tumezoean kitambo tuu....na hizo simujanja kashazikataaga kitambo....anasema hazina cha kubonyezea
 
nakumbuka kipindi namfundisha gari dingi dah unaweza cheka amekua mpole hatari
 
Back
Top Bottom