Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
📌Habari wana Jukwaa....
Watu wengi wamekuwa na uelewa mdogo sana na kuanza kutambiana kuhusu dini na mambo ya kiovu yanayoendelea.
▪︎ Iko hivi kwenye uisalamu kuna waisalamu ni washenzi na mafilauni ila kwakuwa uisalam na muislamu ni vitu viwili tofauti. Kwanini na sema ni tofauti ukiwa muislamu safi ukaufuata uisalamu utakuwa safi lakini ukiwa muislamu muovu hautouchafua uisalam maana uisalam ni usafi.
▪︎ Tusichafue dini kwa wajinga wachache kufanya dini fulani kuonekana ya ajabu kumbe watu ndo wanajichukulia mahamuzi ya kijinga. Kuna watu wanafanya maovu na kujificha chini ya mwamvuli wa dini.
¤ Dini kama dini au viongozi wa dini wanabidi wakae chini wajadiliane kwanini muumini kama huyu anafanya hivi " na kwenye dini andiko linasemaje? Hakuna dini inaruhusu dhambi au andiko linaloruhusu ushoga.
● Sipendi sana kuzungumzia Udini mimi nataka nijikite kuzungumzia maandiko maana sijaona andiko linaloruhusu dhambi sasa wanadamu wanatoa wapi nguvu ya kufanya hizo dhambi kwa makusudi kabisa.
▪︎ ISLAM/UKRISTO
Member wake wanaweza fanya dhambi yeyote na sio kwamba Dini hizo sijui dhehebu zinaruhusu so tuwahukumu watu maana dini ni maandiko na kuna watu ni safi kabisa sio hawa maruani wanaochafua wengine wenye dhehebu zao.
📌 Nimemaliza... unaweza kuacha maoni Yako.