Japo sijapitia hoja nyingi sana kwa sababu hakuna chakujifunza kwenye hoja hizo
Unafikiri ikifutwa utafaidika nini badala ya khasara? Mimi wa kwanza hamtoniona. Mambo mengi ya kufanya ya kheri na wapo wengi wanahitaji kufikishiwa habari sahihi (njema) ya Uislamu.
Kusema TUMESIKIA NA TUMETII hakutoharibika neno. HAKI IMEKUJIENI mukubali na musilimu (mujisalimishe) kwa yule aliewaumba. Yote ni kwasababu waislamu tunakuhurumieni msije juta. Na kumkubali Muumba na kunyenyekea kwake sio kuwa mmeshindwa bali mtakua mmeingia katika njia ya uongofu ambayo itakuokoeni na Adhabu za Allah na mtapata makaazi mema. TIINI
Au ndiyo sababu [B said:umeshindwa[/B] kuja na mifano dhahiri ukaishia kuja na generic accussations zisizo msingi wala ushahidi?
SIJAKUELEWA
Imani za kidini ni zaidi ya vituko vinavyojadiliwa hapa. Japo sijapitia hoja nyingi sana kwa sababu hakuna chakujifunza kwenye hoja hizo, chache nilizopitia hapa hazina uhusiano na kile tunachojaribu kujadili. Hoja nyingi zinajaribu kujadili au kupata majibu ya maswali ya dini za kiislamu na kikristo. Lakini watoa hoja na wajibu maswali wanaandika vituko ambavyo kwa kweli vinashusha hadhi ya Forum, nia ya mijadala na hata kukashifu ukweli wa imani zenyewe. Sidhani kuna haja ya kuvumilia jambo lolote linalopotosha ukweli. Ni hatari kwetu. Wengi wetu tunataka kutumia ubabaishaji wa ufahamu wa juu juu kujaribu kuonyesha kwamba tuna ufahamu mkubwa sana wa maswala ya imani. Na hivyo kubahatisha kutoa hoja au kukashifu dini za wengine bila sababu
Ningeomba kuwakilisha ombi la kufuta mijadala hii ya dini. Ili kama kuna wale walio na haja ya kujua ukweli kuhusiana na maswala ya imani wajifunze kwa wazazi, makanisani, misikitini, vyuoni na kwingineko. Wale walio na imani wabaki na imani zao bila kujisikia kukashifiwa. Kwa kweli sioni uwezekano mkubwa sana wa mtu kumjua Mungu kupitia JF
No wonder,
Inawezekana uko right lakini tatizo siyo sehemy ya dini bali ni watu.Ndugu yangu muislamu hapo juu ameeleza vizuri jinsi gani anavyotaka kuwajulisha watu kuhusu uislamu na pengine wengi tunaweza kufaidika. Usitupe mwana na maji ya kuoga.Usiweke mtego wa panya utakaonasa waliotakiwa na wasiotakiwa.Kama kuna posts zinazokukera zilete hapa zijadiliwe, lakini kufunga sehemu nzima hakusaidii kitu.
Ni culture ya objectivity tu hapa JF ili tusiwe na witchhunts.
lakini pia bado sidhani kama ni solution kuufunga huu ukumbi,,kwani wapo wawili watatu ambao wanatuelimisha na tunashkuru kwamba wengi wetu tumesoma mengi kupitia ukumbi huu kwa mtindo wa kuchuja..(kuchukua ya wale wenye lengo la kutuelimisha na kuacha yale yenye lengo la kuharibu)...mimi binafsi nakiri kwamba nimeelimika mengi kupitia sehemu hii ya dini/imani ,,ambayo kabla ya kujiunga hapa nilikuwa siyajui...ushauri wangu ni kwamba ungewaomba moderators wakawa more active kwa wale wanaoutumia ukumbi huu vibaya kulikoni kutaka ufungwe..
wabillahi tawfiq
Hapa hamna elimu ya dini. Kwa hiyo si kweli kwamba kuna watakaoelimika. Utapata mawazo ya watu wanavyoziona dini (za wengine) lakini sidhani kuna elimu katika posts zinazotolewa.
wewe unasema hujaelimika kupitia ukumbi huu,,i respect that,,,,lakini jaribu kurespect na view yangu ninapokuambia kwamba tayari nimeelimika mengi...be fair
Hapa hamna elimu ya dini. Kwa hiyo si kweli kwamba kuna watakaoelimika. Utapata mawazo ya watu wanavyoziona dini (za wengine) lakini sidhani kuna elimu katika posts zinazotolewa.
One person's meat is anothers poison.
Kwa hiyo inawezekana wewe unachoona kiko over the top, mwingine ataona fair debate.
Ndiyo maana nikaomba uje na mifano specific ili tuijadili, kama mtu kakosea ajirudi na iwe funzo kwa wengine, kama hataki afungiwe.That is kama una case.
Be specific please.
wewe unasema hujaelimika kupitia ukumbi huu,,i respect that,,,,lakini jaribu kurespect na view yangu ninapokuambia kwamba tayari nimeelimika mengi...be fair
kuelimika kuko namna nyingi...mfano ..leo hii basi nishaelimika kwamba unalotaka wewe basi lazima liwe....kwahiyo hili suali sijui kwanini umelileta hapa lijadiliwe ..kwani naona tayari unalazimisha msimamo wako...Unadhani umeelika. Utakapoelimika utakubaliana na mimi. Na hiyo haionyeshi kwamba siheshimu views zako. Nisingeziheshimu nisingezijibu.
kuelimika kuko namna nyingi...mfano ..leo hii basi nishaelimika kwamba unalotaka wewe basi lazima liwe....kwahiyo hili suali sijui kwanini umelileta hapa lijadiliwe ..kwani naona tayari unalazimisha msimamo wako...
Hey Pundit,
I have to let you get away with this. All along my intent is to avoid getting into suh debates. There tons and tons of evidence in this (I wonder why you can't get this) section of the forum. Trying to dig into them will get me where I don't wanna go and will place me right on the same position of Befair, and others. The thing is, there are a lot of misunderstood and misrepresented beliefes here. To start critiquing one after the other will stimulate what I'm trying to suppress.
But if I can cite one thing in general will be this:
I've discovered that most muslims are trying to discuss the Holy Bible (which they don' read and so they don' understand it) and most Christians are trying to do the same with the Holy Quaran (which they don' read and so they don' understand). I feel as that is opposite to a conventional wisdom of any duo meeting for a good course.
Once in a while I get some time like today and decide to read this section. After a number of trials I have concluded that, it is actually not help that is sought. It's a struggle of who knows what better in what religion. For that I say, I wish you the best of luck.
hii statement inatuhusu mie na wewe ,,i think sote wawili tunahitaji hiyo kitu..Unahitaji pia kuelewa maana ya kuelimika. Anyway that's besides the point.