Dini haiwezi kukufanya kuwa mcha Mungu. Dini ni gereza hatari sana

Dini haiwezi kukufanya kuwa mcha Mungu. Dini ni gereza hatari sana

Enthusiastic

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
407
Reaction score
831
Katika maisha nimepata kujifunza kuwa dini haijaweza kumfanya mtu kuwa huru kifikra na kimaamuzi. Kwa mfano; kuna dini zinamakatazo mengi katika mambo mbalimbali na wenye hizo dini wanaweza kuyaishi hayo makatazo isipokuwa UZINZI/UASHERATI.

Unakuta kijana wa dini flani anakwambia kula kitimoto ni dhambi lakini kila siku wasichana wanapishama ghetto kwake. Tuache unafiki. Ni neema ya Mungu tu itakuwezesha kuishi maisha ya kiasi na utauwa katika ukimwengu huu (Tito 2:11) na wala sio dini.

Kushika mafundusho ya dini kuliko kufuata mafundusho yahusuyo Imani, utauwa na haki ni kufanya ujinga mkubwa

Remember: True Christianity is not a Religion but a relationship
 
Back
Top Bottom