Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukijaribu kupitia pitia dini zetu kiufupi zipo kwa ajili ya mafanikio na tajiri sio kwa maskini na mwenye matatizo.
Mafanikio na utajiri ndio yana kubeba kupitia dini viongozi wa dini watakuombea na kukubari kuja kwako ukilinganishana na maskini.
Nilishangaa kwa waislamu msaani domo dini yake iruhusu kuzaa bila ndoa ila ndio wamejazana hapo mpaka na dua zinapigwa.
Viongozi wa dini wanafata watu wenye pesa na mafanikio, leo subiri uwe tajiri utawaona wanavokuja kwako hoo sijui silimu, sijui okoka, sijui sali sana, sijui wewe, ili mradi tu. Huku makanisani na misikitini wenyemafanikio na matajiri uwezi kusikia wamenyooshewa mikono wala kuwajibishwa.
Mnakumbuka kile kisa cha bakwata kuuza eneo kumpa Yusuph Manji kaenda kuadabishwa maskini mponda.