Dini isiyokuwa na Kwaya wakati wa Ibada, inakosa Uhondo!

Ndio unakemeaga mapepo hivyo?
Anafikiri mapepo yanatoka yakiambiwa tu, toka?
Paulo yanamjua na Yesu yanamjua, yeye ni nani? Acha afanye mchezo na mapepo akifikiri yana urafiki na wanadamu. Yatampata yaliyowapata wana wa Skewa (Mdo 19:13–16)
 
Hiyo point #5 naiona hata jeshini. Nyimbo zinaleta mori na mshikamano
 
Sawasawa! Wengine hawaelewi raha ya kumuimbia Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…