Dini kubwa Tanzania hivi hakuna vipaji?

Dini kubwa Tanzania hivi hakuna vipaji?

Habari ndugu zangu kutokana na matokeo mabovu ya Taifa Stars inaenekana dini kubwa Tanzania tunashindwa kupambania taifa kwenye michezo hasa football.

Vilabu vya kariakoo vimejaza dini moja kwenye vikosi vyao mpaka watumishi wa hivo vilabu wanamlengo wa dini moja.

Hivyo kama mtanzania nayeipenda Taifa Stars nimeumia sana kutokujumuishwa kwa dini kubwa Tanzania kama msemo unavosema wengi wape lakin selection ya Taifa Stars inabase vilabu vya Kariakoo miaka nenda rudi lakini tunaambulia aibu kama taifa tu.

Naomba nitoe muongozo tujaribu kubalance pia dini kubwa tanzania na vilabu vya mikoani tuone matokeo kuna vilabu kama Mbeya City, JKT Tanzania; Biashara United

Asanteni
Mawazo mgando
 
Sio soka tu, michezo na sanaa zote na kazi zisizohitaji kwenda darasani huko hamtatuona, maana watoto wetu tunajua ni heri kubet kwa kuwapeleka wakasome kuliko wakarukeruke viwanjani na majukwaani ambako ni mmoja tu kati ya 200 anaweza akatoka
 
Back
Top Bottom