Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We DJ pita huku...Watu wanajifanya wamemzoea Mungu Sana siku hizi.
Huku ninako kaa kuna DJ mmoja mpuuzi anafanya mixing usiku kucha na sijui kama ataenda mbinguni,maana Yule aliyeimbwa na Dulla makabila alikuwa anapiga mchana na wkt WA swala anazima mziki akaingia peponi,sasa huyu anapiga watu wakiwa wamepumzika tena kipindi cha kwaresma na ramadhani,sijui kama atatoboa!
Wapagani na wenye dini nyinginezo nje ya dini za mzungu na mwarabuInawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?