Watu wanajifanya wamemzoea Mungu Sana siku hizi.
Huku ninako kaa kuna DJ mmoja mpuuzi anafanya mixing usiku kucha na sijui kama ataenda mbinguni,maana Yule aliyeimbwa na Dulla makabila alikuwa anapiga mchana na wkt WA swala anazima mziki akaingia peponi,sasa huyu anapiga watu wakiwa wamepumzika tena kipindi cha kwaresma na ramadhani,sijui kama atatoboa!