Umeenda nje kabisa ya madaDini......kuuwa ni dhambi
Wanasiasa wanauwa......lazima kukemea
Dini tupendane
Wanasiasa wanaeneza chuki na migawanyiko, lazima wakemewe maana wanaangamiza Taifa
Dini tusiwe waongo, wachonganishi
Wanasiasa waongo, wachonganishi, lazima wakemewe waache uowongo, fitina na ubaradhuli
Dini ni watchman kuhakikisha siasa inakuwa kwa manufaa na faida kwa Taifa
Ndio maana Desmond tutu akiwa askofu alifanya kazi kubwa kukemea uovu enzi za ubaguzi wa rangi south Africa
Waebrania : Mlango 11
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Yakobo : Mlango 1
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Uyo Mungu mnaemfuata makanisani na miskitini anakuwa wapi wakati watu wanachinjwa?,au nayeye anaitegemea serikali?Tuache kuandika mada zakipumbavupumbavu tukidhalilisha kizazi hiki.
Viongozi wakiroho wakikaa kimya waumini wakachinjwa wote nani atakaenda huko misikitini na makanisani?
Unaanzaje kutenganisha dini na siasa endapo wanasiasa wanaswali Ama wanasali?
Dini na siasa kuvitenganisha nikuwaambia wanasiasa wasiwe waumini, wasiombewe wala wasiombe ushirikiano misikitini wala makanisani
Je inawezekana?