Kwenye lugha ya Kiswahili unaweza usipate maana kamili kwasababu lugha ya kiswahili haijitoshelezi baadhi ya maneno ila ukisoma Biblia kwa kiingereza ndio unaweza kupata maana kamili.Point yangu ni kuwa kuheshimu siyo kuabudu..!! Na ndiyo maana nikamuuliza, kama babaake au mamaake anamuheshimu au anamuabudu..!! Sikuwa namlinganisha babaake na sanamu ya babaake..!!
Kiingereza kuna haya maneno👇
-Worship
-Venerate
-Adore
-Revere
Maofisi yote ya serikali ni lazima picha ya Kiongozi wa nchi ukutani ,ulipotokea msiba wa Mwalimu Nyerere khanga na vitenge vyenye picha ya Nyerere zilivaliwa sana na wakinamama hii yote ni kuonesha "veneration/respect" na sio kuabudu (worship)