Dini zenye wafuasi wengi Duniani

4. Ubuddha: Ubuddha ulianzia India na unakadiriwa kuwa na karibu bilioni 520 ya wafuasi duniani.

Hapo kwenye idadi ya wafuasi panahitaji masahihisho.
Asante sana ofisaa
 

Tumia tu akili ya kawaida.

Jamii gani ina watoto wengi? Bila shaka jibu lako litakuwa jamii za kiislamu , familia za kiislamu huwa na watoto wengi kuliko familia za kikristo.

Muislamu mmoja anaweza akawa na wake mpaka wanne na kila mmoja hapo utakuta ana watoto wanne wanne, lakini kwa wakristo utakuta mke mmoja ,mume mmoja na utakuta wana vitoto viwili au vitatu.

Kwa akili hii tu ya kawaida huwezi kusema wakristo ni wengi kuliko waislamu.
 
Hata mimi baada ya kudoma nimeishia tu kushangaa! Hii dunia haijawahi kuwa na watu bilioni 520!!

Labda alimaanisha wafuasi milioni 520! Na hii ndiyo changamoto ya kucopy na kupaste kitu.
Acha kukariri kukopi... Keyboard zetu wengine zina autocorrection... Ukikosea spelling inaweka neno lake, ukiwa una type haraka uwezi kuzingatia. Unatoa hukumu utafikiri ulikuwepo, acha kuhukumu vitu bila kuwa na uhakika
 
Sisi hatutumii nadharia zako za ndoto na assumption... Huo ni ubashiri, wakristo ni wengi kuliko Waislamu..

Labda nikufahamishe tu Nenda bara Amerika ya kusini kule kumejaa wakristo tu, waislamu wa kuhesabu, kila chocho duniani uwezi kukosa mkristo... Hilo jambo lako sijui la watoto halijafanyiwa tafiti, wapo pia wakristo wenye watoto wengi, nenda usukumani huko utakuta familia watoto 20 wake watatu, na wote wakristo.... Wewe kanywe chai tu ofisaa
 
Acha kukariri kukopi... Keyboard zetu wengine zina autocorrection... Ukikosea spelling inaweka neno lake, ukiwa una type haraka uwezi kuzingatia. Unatoa hukumu utafikiri ulikuwepo, acha kuhukumu vitu bila kuwa na uhakika
Umesharebisha. Inatosha. Hayo mambo mengine ni ya kwako mwenyewe.
 
Nyie waumini wa mapenzi ya jinsia Moja na mpaka mmehalalisha kwenye nyumba zenu za ibada ndio muwe wengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚una ota wewe.
 
Nyie waumini wa mapenzi ya jinsia Moja na mpaka mmehalalisha kwenye nyumba zenu za ibada ndio muwe wengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚una ota wewe.
Mbona ueleweki kama Demu aliyekula Nauli... Hiyo dini ni dini gani iliohalalisha mapenzi ya jinsia moja, nyumba zetu za dini hipi?

Na mambo ya jinsia moja yametoka wapi... Twende taratibu ofisaa
 
Na kuna sehemu ndani ya tz unakuta hakuna msikiti wala muislamu wala hawajui neno uislamu ni nn lkn kuna makanisa
 
Nyie waumini wa mapenzi ya jinsia Moja na mpaka mmehalalisha kwenye nyumba zenu za ibada ndio muwe wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una ota wewe.
Walivyo halalisha mapenz ya jinsia moja na ww ndio ukaolewa kabisa
 
Kama wakristo ni wengi, basi dunia bado ina wajinga na wapumbavu wa kutosha.
Chukulia mfano waumini wa:
1.Zumaridi,
2.Nabii mkuu(sijui cheo alipewa na nani?),
3.Wafusi wa maji na mafuta ya upako,
4. Huyu wa Kenya aliyezika wengi porini,
5. Orodha ni ndefu
 

Attachments

  • 1696760114438_1696760114438.mp4
    929.2 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…