Dini zenye wafuasi wengi Duniani

6. Judaism: Judaism ni dini ya Wayahudi na inakadiriwa kuwa na wafuasi milioni 14 hadi 15 duniani. Judaism ni dini ya Kiyahudi inayotokana na mila ya Waebrania na inazingatia maandiko matakatifu ya Torati. Dini hii inamwamini Mungu mmoja tu na inaongozwa na maadili na mafundisho ya kiroho yaliyomo katika Talmudi. Ibada za Kiyahudi zinajumuisha sala, kusoma na kujifunza maandiko matakatifu, kuamini katika Mitume wa Mungu na kusherehekea sikukuu kadhaa kama vile Pasaka na Sukkot. Pia, jamii ya Kiyahudi ina jukumu kubwa katika kudumisha tamaduni zao na historia yao ya muda mrefu. Wanaamini Masiah aliyehadiwa yuko mbioni kuja kuikoa Dunia dhidi ya maovu, na taifa lao ni taifa teule mbele za Mungu. Wanaamini katika kwenda Jehanamu na Mbinguni kulingana na matendo yako.




Msaada zaidi kuhusu hii dini na kwa undani kabisa kama huto jali
 
Ulakini upo kila sehemu kwenye imani! Hakuna sehemu salama zaidi ya kwengine
 
Hayo ni matatizo ya mtu mmoja mmoja... wewe akili yako imejaa udini, hata waislamu wapo wa namna hiyo wanaofuga majini, wachawi, waganga, watabiri nyota, mashehe ubwabwa ni wengi sana kwenye uislamu... Matukio ya kulawiti watoto madrasa ni mengi sana, kuchinjana huko uarabuni, kujitoa mhanga, ugaidi, kina Hamza...

Sasa wewe unaleta udini wako hapa unadhani Dini yako ndio imara... Ukitaka tuweke bayana machafu yenu tutayaweka
 
Mhaya mkuu naomba kujifunza zaidi kwenye hili
 
Afrika ndio ina waislam wengi kuliko wakristo
 
So kabla ya maandishi hayajanguliwa dini hazikuwepo?
 
Dini yenye wafuasi wengi ni umizimu.
Wakristo,waislam karibu nusu, ni waumini wazuri wa umizimu, uganga na ujadi na majini huku dini ikibaki kama vazi la kufichia aibu.
Waumini wa Umizimu ndiyo Dini sahihi,tumekosa promo.Tukiomba Leo Leo siyo Kesho.
 
Hindu ndio dini ya zamani kuliko zote hizi ina miaka zaidi ya 3000
Halafu kuna dini inaitwa Zoroaster hebu ichunguze nayo ina miaka 3000 utuletee mada uongezee
Ila ahsante kwa taarifa hii nzuri
 
Mbna umemsahau na mihamad tapeli kwenye list?
 
Mbna umemsahau na mohamad tapeli kwenye list?

Mtume wa Allah alioa mtoto wa miaka 6, akaanza kumpiga kifirimbo akiwa na miaka 8, huyu ndiye mtume mshenzi wa tabia kuliko mitume wote.
 
Walio wengi zaidi ndio wapiga biashara, biashara inaongezeka na watu wanapiga kwa kwenda mbele. Mfano mzuri tazama hapa Tanganyika pekas.
 
Taoism/Daoism wana maeneo yao ya ibaada Tanzania? Imenivutia

o
 
Nimependa sana kuhusu Bahai nitawapataje nani ani inbox
Nawashangaa sana watu wanaopinga dini za wenzao hakuna ajuaye ipii ya uhakika
 
Acha kukariri kukopi... Keyboard zetu wengine zina autocorrection... Ukikosea spelling inaweka neno lake, ukiwa una type haraka uwezi kuzingatia. Unatoa hukumu utafikiri ulikuwepo, acha kuhukumu vitu bila kuwa na uhakika
Uko sawa hata mimi siku moja nilikuwa namtumia message mke wangu simu ilichoniandikia kumbe yenyewe iliweka neno ambalo lilikuwa kwenye memory yake ilibidi kuomba msamaha neno lenyewe nilidhamiria kuandika KAMA WEWE sasa jiongeze mwenye simu iliandika nini ila ilianza na KU?? WEWE sasa malizia hizo ?? na ikatuma.
 
Wewe Huku Ndo Ulikuwa Unaelekea Sema Uliamua Kuzunguka Kidizaini Kama Nimeanza Kuwashtukia Raha Yenu Kuutukana Uislamu Na Waislam Basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…